Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Ndoa inaleta heshima, furaha, malezi mazuri ya watoto, uhakika wa papuchi, usaidizi katika maendeleo nk

NB
Hayo yote Kwa sasa yanakosekana Kwa asilimia kubwa na ndio maana watu wanaona ndoa hazina maana na ndio sababu hadi imekimufanya uulize Hilo swali​
If you cannot cultivate your own happiness and become personally content, then don't ever expect someone to fulfill the bleak emptiness inside you.

Of all the loneliest people in the world, Married people are ahead of the curve than single people. And why ?, unfulfilled expectations.

Waacheni watu waishi maisha yao.​
 
Utulivu WA Kweli unapatikana ktk ndoa, Allah amesema nimekuumbieni wanawake jinsi moja na yenu ili mpate utulivu ndani yao na amejaalia huruma na mapenzi ndani yao.

Hawara atakupenda ukiwa na hela Lkn ukiwa huna kitu huyo sio mwenzio, kwasababu hana mafungamano yoyote na wewe.

Mpango wa Mungu uzao wa mwanadamu upatikane ktk ndoa,kwani hakika mwadamu amepewa hadhi kubwa kuliko viumbe wore, iweje Leo mwanadamu awe Kama Mnyama?
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
dronedrake
 
Katika kabila letu, kijana wa kiume huwa anahama kutoka kundi la watoto pale tu anapooa. Hivyo ndoa ni ticket ya kuingia kwenye kundi la WANAUME.

Madhara ya kutokuoa katika ngazi ya ukoo ni kutoshiriki katika vikao vya kimaamuzi vya ukoo. Usipooa basi jua maamuzi yote yanayokuhusu katika ukoo utafanyiwa na wanaume wenzako waliooa maana wewe utahesabika kama mtoto hata kama utakuwa na miaka 70.
 
This is stupidity of high levels!!!
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
Mbowe hana mke????😀😀... Sasa angeruhusiwa vipi kugombea uraisi? sidhani kama hapa pana ukweli. By the way, wanawake siku hizi wamekuwa watu wa ajabu sana, kuanzia kwenye mahusiano tu wamekuwa wanayachukulia kama sehemu ya kupiga hela, hakuna mapenzi ya dhati mda wote wanawaza tu kupiga vizinga vya hela. Kwa staili hii ya wanawake wa siku hizi, sidhani kama huku JF kuna mwanaume anayeona haja ya kuwa ndoa. Wanawake jirekebisheni
 
Nimekuwa nikijiuliza Nini Cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa , kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa, siungani na wale wa kataa ndoa , ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1.usalama wa kijamii na kifedha. 2.furaha nk , najiuliza Sana sababu wanaume wenye pesa na hawana ndoa naona kama wapo happy Sana na afya zao zipo SAWA sana .............Kuna watu maarufu mitaani wenye pesa na hawana ndoa, mfano mchukue mbowe, aliko dangote, diamond platnum, myika Nk na wengine wengi wenye pesa na hawana ndoa, vip wenye wanonekana kutetereka kwa kuikosa ndoa , mchukulie Sugu ameoa akiwa na almost 40 hivi kuna kitu anaweza kuwa anajutia sawa na gerald amos yule mwimba kwanya pale kanisani kwenu aliyeoa akiwa na miaka 20 na anaishi kwenye nyumba ya kupanga, hawezi panga mlo wa wiki, watoto wapo kayumba school, ada ,nguo vinamtesa
Umri gani?

1. Huyo Sugu,umemuuliza kipi amekosa miaka yote,akaenda kukitafuta kwenye 40s?

2. Mbona sijaona jina Halima Mdee?

Mwanaume,hao watoto anawapataje labda? Aweze kuwa na furaha na watoto wake!!

Uliwahi muona kiongozi kwenye ngazi za taifa kakabidhiwa majukumu akiwa hajaoa/kuolewa? Ukimuona, ujue hilo taifa lina tatizo(kikatiba au kutoiheshimu katiba). Kasoro tu wanaohusika na vijana. Japo kuna nchi moja, taasisi ya vijana imeshikiliwa na vizee.
Kwenye ndoa, kuna mitihani mingi isiyoisha na haifauriki. Ndo maana inakuwa ni kipimo cha uvumilivu.
 
Mkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kote huko kwenye 55!!! Muulize kwa sasa tumbo likichachamaa anafanyaje
 
This is stupidity of high levels!!!
Ukiwa na hiyo level ya stupidity ndio utakuwa na mtazamo kama wako. Ila wahenga walikuwa na akili sana kwenye hili maana kupitia huu utaratibu wameshape jamii na ni nadra kukutana na vijana wa hovyo wa kataa ndoa katika jamii yetu.

BTW hata katiba haimtambui kuwa na akili timamu ya kufanya maamuzi makubwa ya mustakabali wa taifa mtu mhuni asiye na mke, ndio maana ni mwiko kugombea uraisi wa nchi ukiwa hujaoa.
 
Huwezi kuelewa maana halisi ya ndoa kama wazazi wako waiishi katika ndoa ya manyanyaso na mateso, kama ulilelewa na mzazi mmoja, kama hukuona faida ya baba ndani ya nyumba.
Ndoa ni taasisi, inatengeneza jamii bora, kama huoni hilo unadhani kwako ndoa ina maana basi!!
 
Back
Top Bottom