Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Usiongee usichokijua
dhamana ni haki ya mtuhumiwa.
Huenda sina taarifa currently kuhusu Hilo.

Tuje kwenye mada iliyopo Mezani, vipi hujaona Faida za Kuoa kwa Mwanaume kama alivyosema Mtoa mada?
 
Kwa mwanaume kuwa na ndoa ndio maumbile yake kijana wangu.!! Sasa ww umepewa mkia WA Nini kama kujamiiana kihalali hutaki ? Au unataka kuolewa ww ili upate furaha na amani kama mwanamke.
 

Kua uyaone.
 
sasa kama kuandika tu huwezi,utajua umuhimu wa ndoa wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata vihelaa ukala ukashiba utaelewa utulivuu gani anazungumziaa ilaa Kama unaamka asubuhi hujui utakulaa nini bhasi akili yako bado haiitaji utulivu unaosemwaa pambana...
Binadamu mwenye utulivu wa juu kabisa wa akili na anayefanya tahajudi inavyotakiwa haitaji sex kuwa ni sehemu ya lazima ya maisha yake.
Watu wenye ukuaji mkubwa wa kiroho sex sio suala la lazima.Sex ni lazima kwa watu wenye ujuzi mdogo wa mambo ya kiroho.Kiroho hapa simaanishi dini.
 
Unachodhani ni muhimu kwako sio muhimu kwa mwingine, na kilicho muhimu kwa mwenzio sio lazima kiwe muhimu kwako. Muhimu katika maisha ni furaha tu.
 
Let's talk reality

Kwamba mwanaume mwenye mke anapata heshima kuliko mwanaume mwenye hela?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kirohoo kipii na huko makanisani ndo kumechafukaa na misikitinii...kesi za kubaka na kulawiti haziishi...its human nature wew jidai hutaki sex kazi kazi yako ni kunyetukaaa tuu
 
Japokuwa ndoa huwa ina changamoto nyingi ila lazima ukubali ni Mpango wa MUNGU!, Mungu aliagiza hilo na ni lazima lifuatwe,Mtu mpagani asiye na dini ndio anaweza kuuliza swali tata kama lako na kupoteza muda Kwa swali hili
Kama ndoa ni mpango wa mungu , Je watu wakiachana ni mpango wa nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…