Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

Mkulima tu wa kawaida ambaye anayamudu maisha yake.
 
Umesahau kuandika namba ya gari
 
Kiswahili cha gentleman ni nini?
 
Mwanaume GENTLEMAN ni kama mimi vile
 
Hasiyeshabikia vyama vya kigaidi kama ccm
 
Kwenye maisha ukisimulia watu jinsi jana usiku ulivyolala kwa kunywa uji na kipande cha andazi,watu watakusikiliza kwa makini sana na watakuonea huruma

Kwenye maisha hayo hayo ukisimulia jinsi jana usiku ulivyokula mbuzi choma huku ukishushia na belaire yako baridiiiiii,watu watakuona unajisifu na kujigamba.

AMKA wasimulie jinsi jana ulivyokua zako ukiendesha baiskeli ukapata pancha ukakokota hadi nyumbani,watakusikitikia kisha watakupa pole sana.

AMKA wasimulie jinsi jana kuna dereva daladala kakupiga pasi SUBARU yako,utasikia wanasema unawatambia au unawasimulia chai.

Unashindwa kuelewa binadamu kabiisa hasa hawa wa nchi ya magufuli,wanataka kusikia na kuona nini,au matatizo na shida tu ndio story wanazotaka kusikia? unawaza huelewi sazingine mtu unatamani usimulie kitu unaogopa maana lazima watakuingiza kwenye kundi la wapenda sifa na wazee wa majigambo kina kiduku lilo.

Unajua inawezekana kabisa maisha ya kiduku lilo anayotusimulia humu yakawa ni ya kweli kabisa (kuna jitu lishaguna huko) ndio shida yetu wabongo.
 
Lugha nyingine anaitwa wanaume msikivu au mwelewa, anayempikia demu/mke wake, anaosha vyombo, anasafisha nyumba na kufua, mshahara wake wote anampa mwenza wake, na anamsindikiza saloon na pia akitoka na mashosti zake, na pia anakuwa available in case mwenza wake na marafiki wanahitaji huduma ndogondogo kama kununua vocha, kuita wahudumu kuongeza vinywaji, kupeleka mikoba kwenye gari, kuendea pedi, pipi na chewing gums supermarket, kurudia vitu nyumbani in case vimeshaulika kama simu, wallet, pedi.
 
πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni Mwanaume kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…