Lugha nyingine anaitwa wanaume msikivu au mwelewa, anayempikia demu/mke wake, anaosha vyombo, anasafisha nyumba na kufua, mshahara wake wote anampa mwenza wake, na anamsindikiza saloon na pia akitoka na mashosti zake, na pia anakuwa available in case mwenza wake na marafiki wanahitaji huduma ndogondogo kama kununua vocha, kuita wahudumu kuongeza vinywaji, kupeleka mikoba kwenye gari, kuendea pedi, pipi na chewing gums supermarket, kurudia vitu nyumbani in case vimeshaulika kama simu, wallet, pedi.