Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura ,nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber,ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu ,hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?
Eti wakuu,mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
Mkulima tu wa kawaida ambaye anayamudu maisha yake.
 
Umesahau kuandika namba ya gari
 
Kiswahili cha gentleman ni nini?
 
Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura ,nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber,ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu ,hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?
Eti wakuu,mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
Mwanaume GENTLEMAN ni kama mimi vile
 
Hasiyeshabikia vyama vya kigaidi kama ccm
 
Kwenye maisha ukisimulia watu jinsi jana usiku ulivyolala kwa kunywa uji na kipande cha andazi,watu watakusikiliza kwa makini sana na watakuonea huruma

Kwenye maisha hayo hayo ukisimulia jinsi jana usiku ulivyokula mbuzi choma huku ukishushia na belaire yako baridiiiiii,watu watakuona unajisifu na kujigamba.

AMKA wasimulie jinsi jana ulivyokua zako ukiendesha baiskeli ukapata pancha ukakokota hadi nyumbani,watakusikitikia kisha watakupa pole sana.

AMKA wasimulie jinsi jana kuna dereva daladala kakupiga pasi SUBARU yako,utasikia wanasema unawatambia au unawasimulia chai.

Unashindwa kuelewa binadamu kabiisa hasa hawa wa nchi ya magufuli,wanataka kusikia na kuona nini,au matatizo na shida tu ndio story wanazotaka kusikia? unawaza huelewi sazingine mtu unatamani usimulie kitu unaogopa maana lazima watakuingiza kwenye kundi la wapenda sifa na wazee wa majigambo kina kiduku lilo.

Unajua inawezekana kabisa maisha ya kiduku lilo anayotusimulia humu yakawa ni ya kweli kabisa (kuna jitu lishaguna huko) ndio shida yetu wabongo.
 
Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura ,nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber,ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu ,hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?
Eti wakuu,mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
Lugha nyingine anaitwa wanaume msikivu au mwelewa, anayempikia demu/mke wake, anaosha vyombo, anasafisha nyumba na kufua, mshahara wake wote anampa mwenza wake, na anamsindikiza saloon na pia akitoka na mashosti zake, na pia anakuwa available in case mwenza wake na marafiki wanahitaji huduma ndogondogo kama kununua vocha, kuita wahudumu kuongeza vinywaji, kupeleka mikoba kwenye gari, kuendea pedi, pipi na chewing gums supermarket, kurudia vitu nyumbani in case vimeshaulika kama simu, wallet, pedi.
 
😂😀😀
 
Habari za leo wananchi wenzangu?
Kuna binti mmoja huwa nampa lifti kwenye subaru impreza yangu kwenda job coz kazini kwangu na kazini kwake ni njia moja, sasa leo nimepata dharura ,nikamwambia sitoweza kumpitia instead nikamtumia tu kama elfu 30 nikamwambia ajaribu kurequest uber,ebwana yule binti kafurahi na kunitumia text kuwa mimi ni very gentleman and caring man.me nikawa najiuliza tu ,hicho kimsaada kiduchu ndio cha mimi kupewa masifa yote hayo?
Eti wakuu,mwanaume gentleman, ndio mwanaume wa namna gani?
Ni Mwanaume kama wewe.
 
Back
Top Bottom