Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Mwanaume unaweza kua na kila kitu na ukaachwa ni bora tu kuwa mshabiki wa simba
 
yeye nani asiachwe kama kipindi Jeff akiwa tajiri wa kwanza duniani lakini aliachwa
 

Bibi adi yule unaemuimbiaga blues kwenye komenti utamuacha?
 
Wana msemo wao siku hizi "Sawa ana hela lakini anakupa?"
 
Labda kama anamnyanyasa kwa kimpiga mwanamke na unalaya ulopitiliza.tofauti na hapo. Ni ngumu kumuacha.
 
unaachwa kweupe kabisa,,,,,
 
Mkuu pesa inaenda sambamba na utoaji,,, ukiwa na pesa na unazitoa sana mademu kukuacha ni swala gumu kidogo labda tu atakuwa anachepuka ila sio kuachwa kabisa......

Pesa inaleta raha sana sometimes coz unakuwa na machaguo mengi sana ya mademu... Ila usijiroge kupenda penda,,, kujikuta Lavaboi,, zee la kupetipeti na ujinga mwingine unaofanana na huo..

Mapenzi uFalla sana sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…