Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Wanawake hawajui wanachotaka hata uwe na dunia utaachwa tu akiamua😀😀
 
Wanawake hawaeleweki, unaweza shindwa kubaini wanataka nini?.
 
Ukizingua unaachwa tu pesa kitu gani!
 
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
Kwa hyo asipokuwa na harufu msafi mtanashati ila ana cheat Sana pesa zpo ndo haachwi ?
 
Kwa hyo asipokuwa na harufu msafi mtanashati ila ana cheat Sana pesa zpo ndo haachwi ?
Hapana but niliyoitaja ni mfano wa sababu moja wapo kati ya lukuki inayoweza msababishia akaachwa
Kwahiyo hata hiyo uliyoitaja ni sababu
 
Ameeeeeeen
 
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mapenzi ni zaidi ya pesa, ila ikikosekana yanapungua.
 
Sasa unamuacha kisa nakupa helaa???? Wanawake kwa kweli ni viumbe ambavyo havieleweki yani...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi HAKUNA mwanamke anaeweza kumuacha Mwanaume anaempa HELAA maana unaweza kuwa na hela alafu bahili hapa tupige story za kujifurahishaa tu...!! Yule mwanamke aliemuacha Jeff Benzos sijui alishapiga hesabu mpunga atakaoupataa wakiachanaa.. Kama mwanamke anaweza vunja ndoa ili apate pesaa leo anamuachaje mwanaume anaempa hela.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Sasa una hela unakubali vipi kuwa na mwanamke mmoja?
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…