Hivi na nyie wapenzi wenu wana wivu kama huyu wangu?

Huyo Kama Mimi.
Nikirudi lazma nichunguze alama za viatu nyumbani kwangu.
Na nikifika nachungulia kwanza kabla ya kuingia ndani.
N. B sisi wanaume wenye wivu mkubwa Mara nyingi uwa na wanawake pembeni. Sasa uwa tunahisi tunayoyafanya Sisi na wenzetu wanayafanya.
 
[emoji122] [emoji122]
 
Mtimizie haja yake ....halafu wewe ndiyo unaoneka hujui thamani ya mapenzi....sasa asipokua na wivu na wewe je ulitaka awe na wivu na nani?mtu akikupenda pendeka hakuna kero hapo mpaka uje kufungua uzi hapa na kujaza server
 
Ahahaa huyu mleta uzi hajui psychology ya mapenzi. Wivu ni njia ya kukufanya usimfikirie yy vinginevyo katika udanganyifu.
Na hii huwa haswa ni kwa mwanaume kiwembe na anagonga sana wake za watu.Hii ina hathari ya 1/1 kwake kwa maana atakuwa anahisi na ww may be una watu wanakugonga nje hata kama sivyo. Ama unavitabia vya kushobokea wanaume.
Fanya uchunguzi utagundua kuna wenzako zaidi ya 5.
 
i know how you feel.... nilikua na mmoja yan kero, nikiwahi kupokea simu yake anasema nipo na mtu naongea haraka haraka niendelee kufanya , nikichelewa anasema nipo na mtu tulikua tunamalizia cha mwisho,(lol),

Namba za simu yangu zote anazijua namba ngeni ikiseviwa kishajua na kaipiga, kama mtu hamuelewi anaifuta tena huku kamblock kbs,
Daah nikamwambia basi mama kila mtu achukue time yake, haikua kazi rahisi ila nilijikuta namchukia.
 
Mpe majukum ya kumfanya kua busy kama mnaishi nae...hutaona kama atakusumbua.Ila watu wa hivi ni kero sana..kuna wa design hii pia unakuta anakuuliza upo api?unafanya nini?umekula nini? Yaani wanakera mno mfyuu.

Aiseeh.. huu nao ni wivu? Hahah my dadaz
 
Ningeshangaa sanaa mwenye mume halali kusema anachukia wivu wa mumewe,

Hakuna mwenye mume alieapa kuwa nae maishan akapost on media kumsema mume.

Hii itabaki tu kwa wale wanaoitwa wapenzi 29+ hata posa hajatolewa.

Acheni tu wajae wasioolewa kwani bado hawana vifua.

(najua unajua ujumbe unavofikishwa).

Eti jitu hahaha
 

Point
 
Aiseeh.. huu nao ni wivu? Hahah my dadaz
Ndio tena wa kishamba,alafu naamin ukiwa busy na majukum huwez kumfuatilia mtu kila saa,inakera kweli,only jobless can do that mfyuu.
 
mnazidisha dozi ya limbwata
 
Mwenye wivu siku zote mwenye mapenzi ya kweli ata mie nikipata mtu wa namna hiyo....
 
kwa kifupi wewe una viashiria vya ukicheche ndio maana unalindwa namna hiyo.
asante
Hii ni 100% true na wanawake vicheche ndio wengi wao huchukia wakikutana na mtu mwenye wivu. Huwezi fuatiliwa kama hauna viashiria vya uchangu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu na wivu wao. Ila wivu ukizidi nao unakera!!
Wivu sio ukizidi, wivu unanogesha penzi sana hasa kwa mtu ajuaye maana ya upendo. Ila kwa malaya atachukia kuona mpenzi wake ana wivu juu yake mkwe upo?!!!
 
Penye miti hakuna wajenzi, ukimpata wa hivyo utaona anakuboa after some time. Wanawake akili zenu zipo so dynamic
Ningempata wa kunipigia xm 4x/day na kunidekeza si ningenenepa mie [emoji4]
 
Wivu sio ukizidi, wivu unanogesha penzi sana hasa kwa mtu ajuaye maana ya upendo. Ila kwa malaya atachukia kuona mpenzi wake ana wivu juu yake mkwe upo?!!!
Duuuh!! Mkwe umetumia neno kali kwelizwe si ulishasema wivu na kufuatiliana fuatiliana ndio zako!!
Ila tambua tu, too much of everthing is harmfull, hivyo wivu ukizidi ni kero, tena kero kweli kweli.
 
Ha
Hayo ndio mapenzi ya moyoni aisee, huwezi mpenda mtu kwa dhati halafu ukute anaongea au ana ukaribu na watu wa jinsia tofauti kwa kificho ama kwa dhahiri bila kuelewa dhima ya mahusiano yao au kiini cha ukaribu ni nini. Lazma uwe na doubts maana hutaki kushea utamu wako.

Wivu ni hisia ambazo kwangu naziona kama SI unit ya upendo wa dhati. Mtu akikupenda lazma aumie juu yako na awe na uchungu na maisha yako. Kama haumii juu yako ujue hamna u serious katika penzi lenu hapo.

Ingawa kuna wengine wanautumia wivu wa kisanii kuficha ushenzi wao ila when it comes to serious grounds of love lazma mtu uwe na wivu aisee. You don't wanna risk anything that you love the most.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…