Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Mimi nina ratiba ya misosi:-

1.J3 -Ugali
2.J4 -Tambi
3.J5 -Wali
4.ALH-Chips
5.IJM -Ndizi/Nyama
6.JMO-Ugali
7.J2- Pilau
Tambi peke yake au?

Au tambi na nyama za kusaga?Zinawekwa na karoti, pilipili hoho vinakatwa vidogo vidogo, viazi mviringo vya kukaanga vinakatwa kiaina na mambo mengineo wanayoyajua wenyewe halafu ngoma inachanganywa!+ chai ya viungo. Kabla mdomo haujapata ladha ya chai pua kwanza inanusa harufu nzuri.

Au tambi na kuku wa kuoka!
 
Mwaka 2004 nilikuwa kwenye list ya heshima ya walinzi wa mkapa RIP mke ngu alikuwa nkengasong niliitwa siku mbili kabla ku attach menu yangu kwenye ......Simba Mungu akubariki vs ....
Mkuu andika vizuri tukuelewe.
 
Panga ratiba ya kula nyumbani! Na umwambie siku yoyote Man U ikishinda ratiba ya msosi inabadilika alijue kabisa! Lazima upikwe msosi unaoupenda zaidi.
 
Kwa hilo shemela yuko sahihi
 
Yeah unachokisema ni kweli, hakuna kbaya juu ya hilo mkuu, lkn kwa kuwa mama ni mlezi wa familia anategemewa ajue nn preferable foods kwa 'wanae' then from there it's all about her kuamua kipi kipikwe siku husika, hiyo huenda ikapunguza kero wanazozieleza kina baba hapa.
 

Yes Mkuu umepita humo humo.
 
Ukishaniuliza tayari umenikata hamu ya kula, napenda nitakachokula kiwe sapulaizi kwangu, na kwa muda tuliokaa wote unajua na penda nini na sitaki nini, swali ambalo sipendi kuulizwa katika maisha yangu ni hilo la tupike nini leo?
 

And in most cases ukipika ulichopanga wewe wanaanzaga kulalamika utasikia ‘mi nlijua utapika wali nyama’ hapo umepika wali kuku [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....
 
Kwahiyo hawa wasiopenda kuulizwa migawahani wanakula watakacholetewa Life is Easy tusicomplicate mambo madogo.
 
She just want to know ur taste of food for a day; there is nothing wrong about..
 
She already knows napenda nyama, pilau, kambale na wali! She just asks so frequent to an extent that it annoys me 😂😂😂
She just want to know ur taste of food for a day; there is nothing wrong about.
 
And in most cases ukipika ulichopanga wewe wanaanzaga kulalamika utasikia ‘mi nlijua utapika wali nyama’ hapo umepika wali kuku [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....
We pika hicho hicho mi ntakula, mama yangu alinifundisha kutokubagua chakula i used to eat hata ambavyo sivipendi kwa sababu hio hio. Kula kitu ambacho ni suprise its fun sababu ukishajibu hilo swali mara nyingi utaitwa ushiriki kumenya vitunguu huko jikoni 😂😂😂 kitu ambacho kinakera zaidi.
 
Mkuu kumbe tuko wengi .
Hill swali huwa naulizwa kila jioni,na mimi jibu langu huwa nyie pikeni mnachotaka mi ntakula matunda tu.
Lakini bado ataomba umshauri.

Dah pole sana mkuu kumbe my wife wako nae ni kama huyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…