Mimi huwa namaliza mjadala kwa kusema pika ugali maharage, utasikia yeye "Wewe kila siku ugali maharage tu ndiyo unachojua" Namaliza kwa kusema basi pika ambacho wew unaona ni sahihi.Akirudia kwa siku nyengine mwambie pika Biriani. Utakua umempa majibu ya mwaka mzima...
Na mimi wang yupo hivyo hivyo kmmqe hadi akaamua kujiwekea ratiba ya mapishi nilivyokuwa nampa makavu"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Tena mkuu bado kuna siku ukawii kuambiwa baby si utamalizia ile mboga ya jana eti Eeeeeeh.Anajua vyema tu ila hakomi [emoji23][emoji23][emoji23] nimeamua kuja kwa mawakili wa kujitegemea JF!
Kama kuwaza kunakupa shida si uweke ratiba sasa. We kuwaza kupika chapati na maharage kunakupa shida ukiambiwa uwaze ada na kodi vinapatikana vipi utaweza wewe?Hakuna kitu kigumu kama kuwaza chakula cha kupika. Uwaze asubuhi niwapikie chapati sijui na vitu gani, mchana na jioni tena. Yani ni stressful tukiwauliza baby leo unakula nini tunaomba mtusaidie kusema ili tupike. Yani ni stressful kuwachagulia watu chakula.
Tuna uchumba wa miaka 6 aseme hajui napenda kula nini? Tume cohabit for more than a year.Nadhani anatakiwa aseme, "Mume wangu unapenda siku ya leo nikuandalie chakula gani?!
But kukuuliza sio kosa maana anapenda mumewe ajue unapenda kula chakula gani.
Ni kweli tabia ya kukereka kereka kwa vitu vidogo ni tabia ya kutokuwa na shukrani, roho mbaya na stress.Unaweza ukawa una roho mbaya sana ila hujui kama uko hivyo. Unachukia watu ikiwa ni pamoja na huyo uliyenaye
Humpendi, kuna kuchoka mtu akikulalia unaweza kumwambia plz jitegemee nimechoka mguu, kama akikulalia tu unakereka humpendi, tafuta unayempenda uishi nae na kama moyo wako hauna upendo hauwezi kupenda mtu ishi mwenyewe, very simple.Mimi kero yangu nyingine pamoja na hiyo ya kuuliza chakula, ni kulala kwenye kochi na kunilalia kila napo ka karibu nae duh, hawezi kuangalia move au tv bila kulalia sofa, inakera arafu huwezi kumkemea atasema hooo! you ur not romantic, wanaumme hampendeki nk..........inekera sana plz wake zetu regulate your habits plz
Sasa mdogo wangu kama wewe usipoulizwa nani aulizwe? ππNami pia nakerekwa na Hilo swali.
Kwahio umeamua kunichamba sio π???Ni kweli tabia ya kukereka kereka kwa vitu vidogo ni tabia ya kutokuwa na shukrani, roho mbaya na stress.
Njia bora asubuhi ukiwa unatoka andika kimemo kibandike jikoni, kwamba leo nataka kula maji na sabuni mke wangu.
na ukiona hili swali linakukera ni kwamba na wewe hujui unataka kula nini, umempa mtu mwingine majukumu ya kujua wewe unataka kula nini, kuna siku na yeye hajui unataka kula nini. Au mara moja moja ingia jikoni tengeneza zaga, mwambie mama chanja watoto karibuni tule, kazi ya kulea familia haijawahi kuwa rahisi kwa pande zote, tuvumiliane na turahisishiane maisha, kwani kuna tatizo gani ukiulizwa leo tunakula nini ukaropoka wali maharage, unapata kigugumizi sababu hata wewe hujui unataka kula nini π
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Sikuchambi ndugu, Mwanaume hachambwi anaambiwa tu π ada na kodi kwani yeye hatafuti pia? Hapo kuna tatizo kwa upande wenu.Kwahio umeamua kunichamba sio π???
Hio kazi ya kujua nyumba inakula nini ni kazi ya mama! Kama unahisi kuna ugumu tafta ada na kodi ya pango huku ukiwa huna ajira rasmi ndio utaelewa.
Weka vyakula vyote ndani na gas ya kupikia uone kama mie ntashindwa kubandika na kupakua misosi kila siku.
Tatizo sio kuulizwa, tatizo ni swali kuwa la kila siku! Ukiulizwa mwezi wa pili ukaja kuulizwa mwezi wa 8 sio ishu.Acha ushamba wewe ..wife anakuuliza unakula nini ndo ukereke?? Sasa ulimuoa wa nini..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Safi sana mkeo hateseki kuwazaMimi nina ratiba ya misosi:-
1.J3 -Ugali
2.J4 -Tambi
3.J5 -Wali
4.ALH-Chips
5.IJM -Ndizi/Nyama
6.JMO-Ugali
7.J2- Pilau
Hata kama unafanya kazi, hivi unaanzaje kumuuliza mmeo kila siku swali hilo na unajua fika ashakwambia hapendi kuulizwa.Sikuchambi ndugu, Mwanaume hachambwi anaambiwa tu π ada na kodi kwani yeye hatafuti pia? Hapo kuna tatizo kwa upande wenu.
Inaonekana yeye anakaa tu nyumbani ukifika tu anakuvaa tunakula nini leo (kwa sauti ya kubana pua) ndio maana unakereka.