Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.Mpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Hahahah kuna sista wangu aliandaa ya week iko kama pambo πππ watu wanjipikia shaghalabagala tuHiyo ratiba iwe ya mwezi mzima ya wiki na yenyewe huwaga inachosha. Na kuandaa hiyo ratiba itabidi tukae kama familia tuiandae.
Ndiyo bado kapo jamani. Ila majority kwa vile mnapenda kukaa bar na kuning'iniza miguu juu kama paka: inabidi tu tule wenyewe na watoto maana hamkawii kurudi siku ya pili (after saa 6 usiku)Hivi kale kamtindo ka kumsubiri mume arudi mle pamoja bado ipo?
Mimi my wife alishasamehe hilo. Ila mara moja moja natoka nae out ndio kula pamoja hiyo.
Mbona ni swali la kawaida sana mkuu tena unapewa heshima kuulizwa unakula nini!!"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Ugali na pilau sio????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We basi utakuwa una date na kivulana kinachoshindia kiepe yai [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Mwanaume rijali lazma apende Ugali na Pilau
[emoji23][emoji23]umeona mambo yalivyo magumu. Njia bora ni ya kuambiana leo unajisikia kula nini. Kuna rafiki angu yeye ana dada anamsaidia kazi lakini ni wa kuja na kuondoka. Ili apike inabidi dada akija akute kimemo. Sasa kazi ya kufikiria kila siku ale nini imemshinda nayo basi dada anakuja kufanya usafi tu na kuondoka akirudi ndio anawaza ale nini ndio ataamue apike au akale mitaani huko.Hahahah kuna sista wangu aliandaa ya week iko kama pambo [emoji23][emoji23][emoji23] watu wanjipikia shaghalabagala tu
My baby ni matured hana maujinga ya wavulana wa humu aisee, Yani ni mwanaume mwenye akili na Yuko busy ulishawahi pata baby anayekushauri Hadi jinsi ya kuvaa weyeMkuu inaonesha umepata perfect, ideal husband coz kila malalamiko ya wanaume humu umekua ukiyaponda na kudai 'hubby' wako hayupo hvoo [emoji1]
Achana nae Tuu mkuu me nimeamua kukaa kimya .Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.
Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh
Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...Huyo anahitaji seminar elekezi π
Usipokula lala na njaa au ukanunue hotelini tusichoshane kwa kweli. Huli lala njaaUkipika ugali maharage sili [emoji23] bora hata wali maharage.Hivyo vinono unavipukia wapi sasa ambako mi sioni
Alivyojibu Cariha ni sawa, yaani hata sisi kwetu inakuwaga ngumu. Mie dada wa kazi akiniulizaga hilo swali naweza hata kuchukua masaa mawili sijamjibu π. So nimeweka ratiba"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
ππ mkuu lkn Alikuuliza nikuandalie nn?Mpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? π€Hiyo ratiba iwe ya mwezi mzima ya wiki na yenyewe huwaga inachosha. Na kuandaa hiyo ratiba itabidi tukae kama familia tuiandae.
ππππ aisee!Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.
Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh