Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Uzi tayari...!
👊🏾
👊🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kuwahi sahani iliyojaa jaaUkila na kuoga ndo una-change...!
🤣
🤣🤣Kuwahi sahani iliyojaa jaa
Mi nilikuwa nanawa mikono na kutafuta chakula kilipo nikimaliza kula ndio navua naenda kuoga
Nyie njaa ya Shule ni kali mno
[emoji3]yaani,nimecheka sana,nawaangalia madogo hapa yaani wapo na sare za shule now.
AhahhaaDaaaaah umenikumbusha mbali sana Dainah...!
💕
Ahahhaa
Nilikuwa nakuta bibi kaniandalia chakula kabisa chá kutosha ashukuriwe
[emoji3]yaani,nimecheka sana,nawaangalia madogo hapa yaani wapo na sare za shule now.
Mama hakuwahi kuruhusu tushindie uniform. Ni ukifika home pitiliza kubadilisha ndio usake msosi ulipo.
Jiheshimu wewUzi tayari...!
[emoji1477]
Kama chakula kilicho pikwa ni kitam navua ila kama sikipendi navua shat tu sketi naenda nayo kwenye rede[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani acha na hiyo rede ikiisha jua lazima ndondi zianze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikirudi huko hai-tamaniki kwa jinsi ilivyochafuka...! Hahaha.
Kwenye rede nako ulikuwa kabishi mno [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kama chakula kilicho pikwa ni kitam navua ila kama sikipendi navua shat tu sketi naenda nayo kwenye rede[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kabishi nikimaliza lazima nidunde mtu ndio niondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilikuaga na kautata nakaubabe flani hiviKwenye rede nako ulikuwa kabishi mno [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]