babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo viko hivyo tuliviita tako nyani (nyanya) [emoji1787][emoji1787][emoji1787] vikibananishwa havina jeuri vinashika mikono na kuchezea vidole kama vinatongozwa ule mtongozo wa zaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee , mtu mzima lazima ajue hakina hatia kumbe [emoji13][emoji13][emoji13]
Ila kikitoka huko kesi inaanza upya