Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

Sio kabishi nikimaliza lazima nidunde mtu ndio niondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilikuaga na kautata nakaubabe flani hivi
Unaonekana tu mdomoni hukamatiki , ukiongeza na katako Kako kalikobinuka vivyo ndiyo ubabe ubabe

Na ubishoo
 
Na ukirudi home fimbo zinakusubiri...!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikua muoga wa fimbo kipenzi cha baba na mama ndio alikua mkali alikua akitaka kunichapa namkumbatia huku natafuta angle ya kuchomokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikua muoga wa fimbo kipenzi cha baba na mama ndio alikua mkali alikua akitaka kunichapa namkumbatia huku natafuta angle ya kuchomokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha kama nakuona vile. Ila utoto jamani...! Lol.

πŸ’•
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732]ila ubabe raha nyie
Unamfuata ukifika viswali huku vimikono umeshika kiunoni na kiuno mbinuko huko [emoji13][emoji13][emoji13]

Unampa kwenzi harafu mbio

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwiooooo
 
Unamfuata ukifika viswali huku vimikono umeshika kiunoni na kiuno mbinuko huko [emoji13][emoji13][emoji13]

Unampa kwenzi harafu mbio

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwiooooo
[emoji23][emoji23][emoji23]weee nakaa hapo hapo nauliza nikuongeze? Harafu KWA watu wazima nilivyokua mpole sasa naweza mpiga mwanao akaja kunisemea kwako na ukanitetea KWA 100%
 
Ntamchapa za kichina china[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za kichina huziwezi Kwa kuwa wenye umbo la kumfuu ni wabishi Tu hawanaga kupiga wenziye , kakijipinda kukuzodoa unaweza Taman ardhi ipasuke uingie havipendi kujishika viononi Ila mkono mmoja kinakusodoa mwingine umeachwa maili moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Raha Sana
 
Hapana..mimi ilikuwa lazima nivue nguo kwanza nimkabidhi Mama..mambo mengine yaendelee
 
Ukimgusa Tu unnanuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaongea hao mkono mmoja kiunoni mwingine unasontwa na kusodolewa
Ole wako ujibu majibu asiyoyapenda na vinapenda kampani mno

Na uongo juuuu

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dhambi hizi Mungu atusamee tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubaya mi nilikua navyo vyote hunishindi mdomo hunishindi ndondi na kaka zangu walikua wababe raha ilioje[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]weee nakaa hapo hapo nauliza nikuongeze? Harafu KWA watu wazima nilivyokua mpole sasa naweza mpiga mwanao akaja kunisemea kwako na ukanitetea KWA 100%
Ndo viko hivyo tuliviita tako nyani (nyanya) [emoji1787][emoji1787][emoji1787] vikibananishwa havina jeuri vinashika mikono na kuchezea vidole kama vinatongozwa ule mtongozo wa zaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee , mtu mzima lazima ajue hakina hatia kumbe [emoji13][emoji13][emoji13]

Ila kikitoka huko kesi inaanza upya
 
Ukimgusa Tu unnanuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaongea hao mkono mmoja kiunoni mwingine unasontwa na kusodolewa
Ole wako ujibu majibu asiyoyapenda na vinapenda kampani mno

Na uongo juuuu

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Na khanga inafungwa kwenye tako...!

πŸ™ˆπŸ™‰πŸ™Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…