Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ubaya mi nilikua navyo vyote hunishindi mdomo hunishindi ndondi na kaka zangu walikua wababe raha ilioje[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aaaah wapi we
 
Ubaya mi nilikua navyo vyote hunishindi mdomo hunishindi ndondi na kaka zangu walikua wababe raha ilioje[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]

Ukipata mbabe mwenzako then kaka wanaingilia...!
 
Na khanga inafungwa kwenye tako...!

[emoji85][emoji86][emoji87]
Ni kibwebwe bwebwe tu na mashaidi wa uongo kibao

Utakasikia eti furani kanafinya, kwenzi, mfyonzo, teke , ngumi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hafu viko very sensitive Kwa mazingira vikihisi tu haviko salama mbio [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Weee haijawai nitokea ila nakumbuka nikiwa la pili nilipigana na MDADA wa la sita wee alinipa ya uso [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahahaha kama nakuona vile...!
 
Ni kibwebwe bwebwe tu na mashaidi wa uongo kibao

Utakasikia eti furani kanafinya, kwenzi, mfyonzo, teke , ngumi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hafu viko very sensitive Kwa mazingira vikihisi tu haviko salama mbio [emoji13][emoji13][emoji13]
Umejuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…