Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Unajenga mkuu choo na bafu Tena Kwa mwaka mmoja hapo unadundulizaMbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Pole Sana.Hiyo ninayo, kwenye saving zangu nina 2.4, sasa ufuta ni lindi uko na mimi nipo kigoma, itawezekanaje kwenye supervision?
Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
😂😂 hii taaluma inadharauliwa sana hapa bongoDegree holder anashindwa kujua mchanganuo wa pesa aliyonayo ili kujenga.....
Alafu ukiongea oooh unadharau walimu
Kabisaaa, ukipata hata kipato kidogo cha kukuwezesha kupata msosi wa uhakika....hiyo laki 5 unaweza kuwa unabana kidogo kidogo unapeleka hardware unapewa risit unatulia, ukipata tena unapeleka unatulia....mwisho wa siku risiti ikisoma m+ unaanza kuchukua material unaanza mdogo mdogo.Kweli, ushauri mzuri nyumba itatokea kwenye chanzo nitakachokitengeneza.
Unaweza.
Easy said than doneDuh acha hiyo kazi jiajiri upate angalau Milion kwa mwezi
Unajiendekeza.Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Unaweza kupiga njiwa wawili kwa jiwe moja.wewe vuta muda kamshaahara kaongezeke,fungua kibiashara kidogo halafu baadaye vuta mkopo wa kutosha fanya mambo yako.Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Wanaume huwa hawakati Tamaa, kuna mzee Iringa alianza kwa kuuza Karanga tu, saizi ni Bilionea Mkubwa sana Iringa.Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Mimi mshahara wa milioni 1.6 baada ya makato yote na bado namiliki kiwanja tu na mkataba uko ukingoniMbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.