Wewe ni Mtu evil kabisa. Upumbavu wenu unawafanya muwe na roho mbaya kabisa.Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️
zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈
Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo
Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈
Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa
Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️
Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+
Kama tungejua ya mbele‼️
Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu
Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈
Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu
Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi
Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi
Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale
Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli
Kupingana na maelezo yangu kugumu👈
mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.
Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu
1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo
2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈
Husingefanya ujinga ule ❌️
ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈
na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔
Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️
Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!
Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
Let's assume anajilinda kama alivyojilinda Polepole, you're so damn fool.Mmetumwa nanani kumpigia Mikelele
Mtu mweusi nikweli sisi weusi majanga makubwa
Makamu rais yupo Salama
Bado wanataka kujua yupo wapi lengo nini ‼️
Kati yenu wapo wazuri kwake lkn pia wapo wabaya wanalengo baya kwake wapo tayali hata kumuuwa pale alipo ili kuchochea Wananchi wajue ni Serikali ndio imemuuwa
Kwaiyo kimya chake ni kujilinda Usalama wake
Kipindi ichi sio rafiki huwezi kujua nani mzuri nani
Yupo na wachochezi kama kina Mange nk.
Wachochezi wanatafuta kila fursa watuashie MOTO 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
So kama wewe ni mwema kwa ndugu Emanuel Nchimbi basi jua uyo mwamba yupo Salama yupo Tanzania
Ajawai kuota ndoto ya kukimbia Tanzania au kufia nje ya Tanzania kama wale Vimama uko kwa Wazungu👈
lkn hawezi kujichanganya Kipindi ichi kigumu kwake kiusalama
Wachochezi ndio Mwiba kwake sio Serikali ❌️
Ukimya wake ni sehemu ya kujilinda Kipindi ichi kigumu kwake .
Mwenyewe anajua Wachochezi wanatamani zaidi kusikia Kafa 👈
sio kusikia yupo hai ❌️
Kwasasa chenye muhimu tahadhari kwa Usalama wake✍️
Unasema Lissu atakuwa busy kupambana na watesi wake does it mean kufanya current 'illegal' rulers kuwa accountable kwa makosa yao hakupaswi kufanyika?Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️
zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈
Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo
Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈
Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa
Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️
Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+
Kama tungejua ya mbele‼️
Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu
Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈
Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu
Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi
Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi
Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale
Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli
Kupingana na maelezo yangu kugumu👈
mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.
Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu
1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo
2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈
Husingefanya ujinga ule ❌️
ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈
na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔
Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️
Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!
Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
Nchimbi ana ndugu na wanaposition serikalini kuna mdogo wake anaitwa JOHN NCHIMBI google utawaonaTukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Alichaguliwa lini?Yupo
John John Chimbi ni mbunge wa jimbo la Nyasa.
Walijichagua wote October 29.Alichaguliwa lini?
Sijui hata ukirudia kusoma utaelewa ulichokiandika, Lissu alikamatwa miezi kabla ya uchafuzi wenu.Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea