Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Acha ubishi wa kijinga, sababu kubwa ya kushuka kwa Kenya "Exports" ni kuongezeka kwa gharama kubwa za uzalishaji Kenya ukilinganisha na Uganda na Tanzania, hii inamaanisha gharama za bidhaa Kenya ziko juu haziwezi kushindana na Uganda na Tanzania.

Jiulize inawezekanaje bei ya Diesel, Petrol na Lubricants ambavyo vyote hutoka Uarabuni na kupitia Mombasa kwenda Kampala, Rwanda na Burundi, lakini ni ghali zaidi Kenya kuliko hizo nchi zingine zote za EAC?, hii ni kwasababu Kenya kuna kodi nyingi sana.

Haya yote ukiyaweka kwa pamoja, ndiyo yanayosababisha gharama za maisha kuwa juu Kenya kuliko nchi zingine. Tanzania 80% ya wanainchi wanaoishi vijijini wanajilimia chakula chao, wakati huko Kenya 70% ya watu vijijini wanategemea kununua chakula, ndio sababu Kenya lazima kuagiza chakula toka nje kila mwaka.
Ndugu si utuwekee chanzo Cha hizi figures zako unless unazitoa mk*nd*n*.
 
Piga wewe kama haitofika $57 by 2018 na $63B by 2019 kwa kutumia 7%. Ukipiga hesabu kwa Kenya kuanzia 2014 $61B hadi 2019 inakupa $75B tu.
Screenshot_2019-10-13-19-17-56.png
Screenshot_2019-10-13-19-17-46.png
Hili tulisema wiki jana tu! You are suffering from a rare condition known as Selective Amnesia! GDP ya Kenya as of Financial year 2017/2018 is 87.9bn!
$75B sijui unaokota wapi.
 
Sijui umenielewa??
Kule sio km watu wanauza watoto zao laa bali washirikina walikua wakikamata watoto na kuwatumia ktk mambo ya kishirikina.
Ndio maana nimesema ukazaji wa vyuma wa Kenya na Tanzania haufanani wa Kenya umezidi babuuu.
Na zile imani za kishirikina zishatupiliwa mbali sasa hivi.
Ila kwenu hadi sasa watu hususan wanachuo hu commit suicide kuhofia ugumu wa maisha.
Huu ushirikina Ni wa Nini Kama sio wa kutafuta Mali? Hebu fafanua
 
Sasa ndio intakiwa ushangae..jiulize mbna bei ya bidhaa, petrol, diesel kenya hazipishani mbali na tanzania...wakati mapato ya mtanzania wa kawaida ni kiduchu...
We kubali awamu hii vyuma vimekaza...

Halafu kuhusu kodi, sisi hku hatutozwi kodi za kijing jinga km za kisima na machinga
Kama Kenya inaongoza Afrika kwa "unemployment" hicho kipato mtakitoa wapi?
 
Wewe hujui kutumia Google?, au wewe ni shoga?
Burden of proof lies on you the accuser...huwezi sema Yule Ni mwizi bila ushahidi, Sasa unataka tukusaidie evidence gathering? Wacha uvivu na matusi ubapobanwa. Weka ushahidi bana
 
View attachment 1232122View attachment 1232123Hili tulisema wiki jana tu! You are suffering from a rare condition known as Selective Amnesia! GDP ya Kenya as of Financial year 2017/2018 is 87.9bn!
$75B sijui unaokota wapi.
Ninyi ni watu wa kupikia data, according to this data, Kenya GDP by 2018 is $75.41B. Angalia vizuri kuanzia 2015 kuingia 2016 hapo ndio mlipoanza kudanganya ulimwengu, ukweli ni huu

2015 GDP $64.23B +3.66B = $67.89B
Hiyo $70.87B imetoka wapi?

cc. Tony254
Gezaulole
Mkikuyuakilitimamu
 
Ninyi ni watu wa kupikia data, according to this data, Kenya GDP by 2018 is $75.41B. Angalia vizuri kuanzia 2015 kuingia 2016 hapo ndio mlipoanza kudanganya ulimwengu, ukweli ni huu

2015 GDP $64.23B +3.66B = $67.89B
Hiyo $70.87B imetoka wapi?

cc. Tony254
Gezaulole
Mkikuyuakilitimamu
Itakua ngumu sana kuelewa bila any economic understanding. Nitakusihi ufanye research mwenyewe.
 
Itakua ngumu sana kuelewa bila any economic understanding. Nitakusihi ufanye research mwenyewe.
Hahahaha, mkiambiwa mnapika data mnakataa, Leo umeshikwa live kwa kutumia data zako mwenyewe. Hii maana yake ni kwamba, by 2017 Kenya GDP ni $75.41B. Kwahiyo mumeongeza zaidi ya $12B kufika hiyo $87B.
cc. Tony254
Gezaulole
Mkikuyu akilitimamu
 
Haibadili the fact kuwa Magufuli ni dikteta hatari sana. He thirsts for blood more than he does for water!
Siku hizi hata MagicKenya wameamua kutumia soeaches zake kutangaza utalii wa Kenya.
 
Ninyi ni watu wa kupikia data, according to this data, Kenya GDP by 2018 is $75.41B. Angalia vizuri kuanzia 2015 kuingia 2016 hapo ndio mlipoanza kudanganya ulimwengu, ukweli ni huu

2015 GDP $64.23B +3.66B = $67.89B
Hiyo $70.87B imetoka wapi?

cc. Tony254
Gezaulole
Mkikuyuakilitimamu
Jifunze uchumi, hizo hesabu zako kama za Mama Ntilie vile 😂😂
 
Jifunze uchumi, hizo hesabu zako kama za Mama Ntilie vile [emoji23][emoji23]
Hahahaha, mumepatikana na upikaji wenu wa GDP, mbona kwenye GDP za nchi zingine zote ikiwemo Tanzania hesabu zinakubali isipokua Kenya pekee. Hahahaha, Leo ukweli umejjlikana wapenda sifa wameaibika. Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Failed state ninyi.
 
Jifunze uchumi, hizo hesabu zako kama za Mama Ntilie vile [emoji23][emoji23]
Uchumi ya kenya kwakweli inataka elimu yake personal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

2014 mlikuwa $61bln mmepanda kwa rate ipi kufikia $99bln within 5 yrs????.

$38bln [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom