antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Huyo Balile ni kada au kwa jina pendwa chawa wa chama. Kazi ya watu kama hao ni upotoshaji, propaganda.Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Inasikitisha kwa hakika lakini ndiyo nchi ambayo Mungu katuchagulia, labda ana kusudio lake!Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Pia nilipojaribu ku-study nyuso za hao wahariri kabla ya hata ya maswali yao nilidharau hapohapo.
Kwanza Inaonekana wamezolewa-zolewa tu.
Wapo wastaafu, Wengine watangazaji wa michezo..walikuwepo makada nk. Sikumuona Aloyce Nyanda pale wala Kikeke
Nilichoka.
Baada ya kusikiliza kwa utulivu ufafanuzi wa Lissu juu ya changamoto zinazozingira chaguzi za Tanzania, ni mwendawazimu tu ndiye ataamini kwamba Tanzania tuna chaguzi huru na za haki.
Ameleeza mambo mengi kwa kirefu, kiweledi, huku akitoa mifano kadhaa ya madhira aliyokutana nayo yeye binafsi na wenzake.
Ni dhahiri Tanzania tuna chaguzi zilizojaa election irregularities kila mahali....hili jambo hata watoto wetu wanajua.
Yaani ni afadhali hata Chadema wangefanya press na wadogo zetu wa Daruso...au Daruso za vyuo vingine.
Zamani ukijua unaenda kuhojiwa na Wahariri ulitakiwa uende umejipanga.
Kumbe siku hizi ndio zero kabisa. Nyakati kweli ni ukuta.
Unakubali kuwa kukiondoa chama tawala ni kazi ngumu kwani chama tawala kinatumia nguvu kubwa ya dola, lakini mwishoni unatumbukia kwenye ujinga wa kusema Samia 5 tena! Akili za watanzania ndivyo zilivyo mbovu ndio maana CCM inasitawi sana.
Tuwaite walipitiwa na bahasha ya khakiKwahiyo wahariri ni wendawazimu??
Naomba anayejua kutag anisaidie kuwatagi tukianza na Pascal Njaa
Bahasha za kaki ni sumu na adui mkubwa wa tasnia hii ya habari!Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Pia nilipojaribu ku-study nyuso za hao wahariri kabla ya hata ya maswali yao nilidharau hapohapo.
Kwanza Inaonekana wamezolewa-zolewa tu.
Wapo wastaafu, Wengine watangazaji wa michezo..walikuwepo makada nk. Sikumuona Aloyce Nyanda pale wala Kikeke
Nilichoka.
Baada ya kusikiliza kwa utulivu ufafanuzi wa Lissu juu ya changamoto zinazozingira chaguzi za Tanzania, ni mwendawazimu tu ndiye ataamini kwamba Tanzania tuna chaguzi huru na za haki.
Ameleeza mambo mengi kwa kirefu, kiweledi, huku akitoa mifano kadhaa ya madhira aliyokutana nayo yeye binafsi na wenzake.
Ni dhahiri Tanzania tuna chaguzi zilizojaa election irregularities kila mahali....hili jambo hata watoto wetu wanajua.
Yaani ni afadhali hata Chadema wangefanya press na wadogo zetu wa Daruso...au Daruso za vyuo vingine.
Zamani ukijua unaenda kuhojiwa na Wahariri ulitakiwa uende umejipanga.
Kumbe siku hizi ndio zero kabisa. Nyakati kweli ni ukuta.
Inasikitisha kwa hakika lakini ndiyo nchi ambayo Mungu katuchagulia, labda ana kusudio lake!
Historia ni ndefu lakini yalipofayika maoni kujua nani anataka vyama vingi au kuendlea na chama kimoja, 80% hawakuwa na maoni lakini 20% wakataka vyama vingi. Kwa vile Mwalimu alielewa kuwa hawa 20% ndio wanaofikiri na 80% ni wale wanaopigania mlo wa siku hivyo akasema wasikilizwe hawa 20%.
Inasikitisha kuwa pamoja na teknolojia kutupatia utajiri wa taarifa tumeenda na hii trend hadi miaka 30 bila kubadilika!
Majuzi CAG Prof. Assad alituelezakuwa kiasi kikubwa sana cha wafanyakazi wa umma hawajui hata ni kwa nini wamo maofisini, tukampuuza. Baadae amekuja waziri akasema 40% ni mizigo (huenda hapa waziri alificha aibu kidogo, labda mizigo ni zaidi ya 60%!)
Je, ni nani anajua kama na kwenye fani ya habari (wahariri) nako kuna mizigo!?
Tafiti zitatuonyesha baadae kuwa mizigo ya wahariri ilikuwa kiasi gani na wakati huo hata kama TL atakuwa meshaondoka usije kushangaa sanamu yake inawekwa (kama Martin Luther King Jr ilivyo ikulu ya USA) na kutambulia kama Mtanzania aliyekuwa mbele ya muda wakati 80% wakiwa usingizini.
Yote Kheri
That's the "empty-headiocracy".And that's democracy per se! different people, different lines of thoughts. but they must co-exist in harmony despite their differences in their world outlook!
Mkuu,Vijana wasio na ajira na wenye umri wa kupiga kura ni zaidi ya mil. 28 . Hawa wakipiga kura wote hata tume iwe ya Machawa wa CCM wanashindwa kwa kishindo kikubwa .
Uchambuzi wako wa mambo unaonesha jinsi wantanzani walivyo na akili finyu na kweli ndio maana ccm inastawi sana. Wewe unafikiri kuwa tatizo ni daftari la wapiga kura? Kwa tume ;ya uchaguzi na mfumo huu wa wakurugenzi walioteuliwa na rais wa ccm unafikiri tatizo ni vijana kutopiga kura? Hata iweje ccm na mfumo mbovu wasipoondoka ni ndoto kwa upinzani kushinda. Mbowe amefanya makubwa mno CHADEMA lakini inasikitisha wajinga hawaelewi, CHADEMA imeendelea kuwepo, TLP, CUF, UDP, NCCR zilishakufa na hazijulikani kama wapo wapi halafu leo hii unasikia mjina anasema eti Mbowe ameua CHADEMA! Watanzania mnakosa akili sana.Kosa kubwa alilofanya Lisu ni kutohamasisha vijana kujiandikisha kwa nguvu kubwa sana.
Yaani alitakiwa aseme bila kuwaandikisha vijana wote hakuna uchaguzi.
Muda wa kuandikisha watu umekua mdogo na daftari limejaa marehemu na wazee wa miaka 80 wa vijijini wasiohitaji tena ajira wala elimu bora wala kupigania nchi yao inayoangmiwa kwa rushwa na kuuzwa kwa wageni.
Vijana wasio na ajira na wenye umri wa kupiga kura ni zaidi ya mil. 28 . Hawa wakipiga kura wote hata tume iwe ya Machawa wa CCM wanashindwa kwa kishindo kikubwa .
CCM inashinda uchaguzi kwa sababu ya kuvuruga daftari la mpiga kura ndio maana haijawahi kupata kura zaidi ya mili .12.
Kura za CCM zinaangaliwa wanachama wake kwanza . Ndio maana wananunuaga kadi ili kupunguza nguvu za upinzani kupiga kura.
Kwa hiyo Chadema wamekosea sana kushindwa kuhamasishwa vijana zaidi ya mil 28 kujiandikisha kwenye nchi yenye watu mil 65 ,CCM atachaguliwa na marehemu wengi pamoja na wanachama hai wa CCM wasiozidi mil 9.
Lakini pia Tamko la No reform no Election sio la Lisu .
Lilitolewa na Freeman Mbowe akiwa mwenyekiti.
Hakuna Tamko la Mbowe liliwahi kufanikiwa .Kuanzia UKUTA na matamko mengine kama ya Samia Must go .
Yote ni kwa sababu ni matamko ya kukurupuka na kuacha mambo ya msingi .
Kama kuwaandaa vijana kupiga kura kwa wingi sana . Ni wazi kwa sasa Lisu ni Mwanasiasa mwenye jina kubwa kwa uwezo aliopewa na Mungu. Samia ana jina kwa sababu ya pesa nyingi,madaraka makubwa, mamlaka ya kuteua .Vyombo vya dola,vyombo vya habari kuwekwa mfukoni n.k. Lakini Lisu ni Mtu from ziro tu Hero . Watu kama Lisu ni wachache sana na ndio hasa Chaguo la Mungu. Watu wakimbeza Lisu hasa watanganyika watakuja kumkumbuka watakapoona kuwa nchi na ardhi yote sio mali ya mtu mweusi tena na kila kitu kimeshachukuliwa na wageni kuanzia madini ,wanyama, bandari ,ardhi ,misitu na viwanda na biashara zote kubwa ni mali za wageni . Wenyeji watabaki wakipigwa na mapolisi mpaka siku atakapotokea Shujaa mmoja mwenye uzalendo na utu na kuwaonea huruma waafrika wenzake kama ilivyotokea Kagame,Traore ,Museven,Gadaffi ,Sadam Husein n.k na kurejesha Tanganyika kwa wananchi mili.65 kutoka kwenye mikono ya familia ya watu wasiozidi 20.
Kwahiyo wewe ulitaka alichosema Lissu wakibebe hivyo hivyo kama Litania ya Bikra Maria sio?Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Pia nilipojaribu ku-study nyuso za hao wahariri kabla ya hata ya maswali yao nilidharau hapohapo.
Kwanza Inaonekana wamezolewa-zolewa tu.
Wapo wastaafu, Wengine watangazaji wa michezo..walikuwepo makada nk. Sikumuona Aloyce Nyanda pale wala Kikeke
Nilichoka.
Baada ya kusikiliza kwa utulivu ufafanuzi wa Lissu juu ya changamoto zinazozingira chaguzi za Tanzania, ni mwendawazimu tu ndiye ataamini kwamba Tanzania tuna chaguzi huru na za haki.
Ameleeza mambo mengi kwa kirefu, kiweledi, huku akitoa mifano kadhaa ya madhira aliyokutana nayo yeye binafsi na wenzake.
Ni dhahiri Tanzania tuna chaguzi zilizojaa election irregularities kila mahali....hili jambo hata watoto wetu wanajua.
Yaani ni afadhali hata Chadema wangefanya press na wadogo zetu wa Daruso...au Daruso za vyuo vingine.
Zamani ukijua unaenda kuhojiwa na Wahariri ulitakiwa uende umejipanga.
Kumbe siku hizi ndio zero kabisa. Nyakati kweli ni ukuta.
Rubbish, wewe unaongea kama mjinga flan hivi,sorry to say so. unashabikia ujinga. CDM is right na ikiwezekana wasishiriki uchaguzi kabla ya Reforms. Wakifanya hivyo na wao watakuwa ni Wajinga kama wewe.Umeongea
Umeongea vizuri sana je CDM iliandaa bahasha zozote kwa ajili ya hao wahariri. Kama ujuavyo vyombo vyetu vya habari ni njaa tupu issue kubwa kama hii inatakiwa pia na mbinu za ushawishi kwa baadhi ya watu. Hasa huyo Balele. Hata hivyo wanaendelea kujifunza. Kwanza hawawajishutukia tu CHDEMA matukio yao yote waliofanya hakuna hata moja ambalo limetoka kwenye gazeti lolote bado wana imani na vyombo hivyo. CDM wanapaswa wajue kuwa issue za siasa humu ndani nchini ni ngumu sana kwanza huwezi kukut,, a mtu ameweka bendera ya CDM nyumbani kwake siku hizi hiyo nyumba inaweza ikabomolewa tofauti na enzi za kikwete na Mkapa. Hakuna mtu yoyote hivi sasa ambaye yupo tayari kujionyesha yeye ni mpinzani kwa sasa kama si moja kwa moja anacheo chochote kwenye hicho chama. Kwa hiyo hata hivyo vyombo vya habari hakuna hata kimoja ambaacho kipo tayari kuonyesha kuwa kinaungavmkono ajenda za CDM hata kama zinamanufaa kwa sababu wananchi.
Rubbish sio lazima ulete ujinga wako hapa. TL yupo sahihi kabisa tatizo vijana sasa hivi ni wajinga flan hivi. hamtaki kushughulisha akili zenu.Lissu hoja yake ya uwakilishi bungeni dhaifu sana kumsikia akiletea mifano ya Zanzibar na Temeke, yeye hajui kuwa Tanzania ni nchi mbili? akili ya kawaida anataka Zanzibar wawakilishwe na mbunge mmoja tu kwa kuwa wachache. Kaja na mfano wa Dar na Mtwara kufananisha population na uwakilishi. Hajuia Mtwara ki size ni kubwa sana miundombinu sio rafiki kumfikia kila mtu wakati Dar hapo Temeke, Kigamboni, Ilala ni mdomo na pua pamoja na wingi wa watu lakini kufikia ni rahisi na mahitaji ya watu laki 4 temeke au hata wangekuwa laki 1 mahitaji na yaleyale. Mimi nadhani anataka kutuletea mfumo wa USA electoral vote kwenye nchi moja bila kulelewa USA zile ni nchi 50 zimeungana.
Haujamwelewa TAL kamsikilize tena.Lissu hoja yake ya uwakilishi bungeni dhaifu sana kumsikia akiletea mifano ya Zanzibar na Temeke, yeye hajui kuwa Tanzania ni nchi mbili? akili ya kawaida anataka Zanzibar wawakilishwe na mbunge mmoja tu kwa kuwa wachache. Kaja na mfano wa Dar na Mtwara kufananisha population na uwakilishi. Hajuia Mtwara ki size ni kubwa sana miundombinu sio rafiki kumfikia kila mtu wakati Dar hapo Temeke, Kigamboni, Ilala ni mdomo na pua pamoja na wingi wa watu lakini kufikia ni rahisi na mahitaji ya watu laki 4 temeke au hata wangekuwa laki 1 mahitaji na yaleyale. Mimi nadhani anataka kutuletea mfumo wa USA electoral vote kwenye nchi moja bila kulelewa USA zile ni nchi 50 zimeungana.
Uchawa Everywhere ???!! 😳 Duh 🙄! If so then what is coming next ?!Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Pia nilipojaribu ku-study nyuso za hao wahariri kabla ya hata ya maswali yao nilidharau hapohapo.
Kwanza Inaonekana wamezolewa-zolewa tu.
Wapo wastaafu, Wengine watangazaji wa michezo..walikuwepo makada nk. Sikumuona Aloyce Nyanda pale wala Kikeke
Nilichoka.
Baada ya kusikiliza kwa utulivu ufafanuzi wa Lissu juu ya changamoto zinazozingira chaguzi za Tanzania, ni mwendawazimu tu ndiye ataamini kwamba Tanzania tuna chaguzi huru na za haki.
Ameleeza mambo mengi kwa kirefu, kiweledi, huku akitoa mifano kadhaa ya madhira aliyokutana nayo yeye binafsi na wenzake.
Ni dhahiri Tanzania tuna chaguzi zilizojaa election irregularities kila mahali....hili jambo hata watoto wetu wanajua.
Yaani ni afadhali hata Chadema wangefanya press na wadogo zetu wa Daruso...au Daruso za vyuo vingine.
Zamani ukijua unaenda kuhojiwa na Wahariri ulitakiwa uende umejipanga.
Kumbe siku hizi ndio zero kabisa. Nyakati kweli ni ukuta.
So Uchawa is Everywhere ????!!!! 😱Ndio ni wendawazimu. Mwizi wa kura mwenyewe amekiri kuiba kura, wao wahariri wanabisha
Balile ambaye eti ni Mwenyekiti wa wahariri wa vyombo vya habari vyote Tanzania hata hawezi kutambua jambo rahisi kabisa kuwa sheria inapopoka mamlaka ya katiba, basi sheria hiyo automatic inakuwa batili...Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri.
Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile.
Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri nini.
Pia nilipojaribu ku-study nyuso za hao wahariri kabla ya hata ya maswali yao nilidharau hapohapo.
Kwanza Inaonekana wamezolewa-zolewa tu.
Wapo wastaafu, Wengine watangazaji wa michezo..walikuwepo makada nk. Sikumuona Aloyce Nyanda pale wala Kikeke
Nilichoka.
Baada ya kusikiliza kwa utulivu ufafanuzi wa Lissu juu ya changamoto zinazozingira chaguzi za Tanzania, ni mwendawazimu tu ndiye ataamini kwamba Tanzania tuna chaguzi huru na za haki.
Ameleeza mambo mengi kwa kirefu, kiweledi, huku akitoa mifano kadhaa ya madhira aliyokutana nayo yeye binafsi na wenzake.
Ni dhahiri Tanzania tuna chaguzi zilizojaa election irregularities kila mahali....hili jambo hata watoto wetu wanajua.
Yaani ni afadhali hata Chadema wangefanya press na wadogo zetu wa Daruso...au Daruso za vyuo vingine.
Zamani ukijua unaenda kuhojiwa na Wahariri ulitakiwa uende umejipanga.
Kumbe siku hizi ndio zero kabisa. Nyakati kweli ni ukuta.
Kama hana akili kama wewe unavyomuona na kumtazama, hebu kosoa hoja zake na za CHADEMA moja au mbili tu anazosimamia kwa wewe kuweka hoja zako mbadala ku counter attack hoja zao..Kimsingi TAL anasujudiwa na nyumbu wake wa CHADEMA ambao wanamuona kwamba ana akili sana na ni mpenda haki na demokrasia.
Sasa amekutana na magwiji wanaomfahamu fika toka sekondari na harakati zake za kimaisha mfano Pascal Mayalla . Ndiyo maana AMEPWAYA.
LISSU atawadanganya CHEDEMA tu, ila hana KARAMA ya uongozi
Sasa umeandika nini hapo? Kweli Tundu anaongoza manyumbuKama hana akili kama wewe unavyomuona na kumtazama, hebu kosoa hoja zake na za CHADEMA moja au mbili tu anazosimamia kwa wewe kuweka hoja zako mbadala ku counter attack hoja zao..
Unajua nini ndugu Stuxnet?
Huwezi na huna hoja yoyote na ukijaribu tu hata kabla hujamaliza sentensi moja wewe Stuxnet utaonekana mjinga na fala kuliko hata Balile mara 1,000,000 kwa namna alivyogeuzwa mjinga fulani ktk mjadala ule..!!
Pole sana Mhariri wa magazeti ya CCM ya Uhuru na Mzalendo...🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️