Ndani ya uchumi uliokufa kuwepo pesa ndefu kiasi hiki za kupotea?Fedha za wizi ndio Fedha zipi? Za wizi wa Plea bargaining Kwa nini hamkuziondoa? Za wizi wa Prof Assad 1.5T Kwa nini hamkuziondoa? Pesa zipi hizo za wizi mlizoziondoa? Unaweza nitajia?
Hakuna mradi uliosimama ila Kasi yake ilikuwa ndogo sababu ya pesa na mfano mzuri ni mradi wa bwawa la Nyerere,Hadi Samia anauchukua ulikuwa umechelewa Kwa Zaidi ya miezi 8 sababu ni pesa..Nitajie mradi mmoja tu ambao ulisimama licha kwamba unasema eti hakukuwa na fedha ya kutoshea hiyo miradi!
Kisha baada ya hapo uje uniambie pia kwamba, huyu JPM unayesema uchumi ulimfia, huo wizi wa matriioni mnaokesha kuimba humu alikuwa akizipata wapi hizo pesa kuiba wakati uchumi ulimfia?
Istoshe, nimekuletae miradi mbalimbali ya maji iliyotumia zaidi ya triion 1+
Halafu hutaki kuelewa
Acha kuongea mambo usiyoyajua.Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
👇
Hata Kwa Mugape pesa za Kuiba zilikuwepo licha ya uchumi kuharibika maana mnaobaki mnafaidi ni nyie mlioshika utawala ila mtaani hali mbaya..Ndani ya uchumi uliokufa kuwepo pesa ndefu kiasi hiki za kupotea?
We hauko sawa
Waulize Business Insider watakwambia matokeoAcha kuongea mambo usiyoyajua.
Ulipata ngapi Basic Mathematics?
Ulipata ngapi Economics?
Mpaka hapa! Tayari nimekupuuza!Hata Kwa Mugape pesa za Kuiba zilikuwepo licha ya uchumi kuharibika maana mnaobaki mnafaidi ni nyie mlioshika utawala ila mtaani hali mbaya..
Nitajie huko mtaani watu walifurahia maendelea yapi ikiwa Hadi korosho zilikosa soko?
Acha bla bla lete takwimu kujenga hoja otherwise kindly 😷Juzi rais Samia akiongea kwa msisitizo alisema "nchi yetu uchumi wake haukuteteleka sana kama majirani zetu kutokana na sera na maamuzi mazuri ya hayati Magufuli kutokufungan nchi kipindi cha COVID 19 , uchumi wetu upo imara kuzidi majirani zetu na Afrika"
Hoja yako imekaa kizushi na kihiyo,kwa mujibu wa bank ya dunia uchumi wa dunia umeshuka kutokana na janga la COVID 19,vita vya Ukraine na mabadiliko ya tabia nchi.
Jana rais Biden akihutubia maelefu ya watu mjini Warsaw Poland amesema vita ya Ukraine imeleta tatizo kubwa la kiuchumi duniani hasa Afrika .
Mleta mada utakuwa na mimba kubwa ya Magufuli inakutesa tulia uzae tu
USSR
Ukikosa hoja lazima utafute kichaka.Mpaka hapa! Tayari nimekupuuza!
Unautoto mwingi na wewe ndiyo walee, mtandao uliobuniwa na wasomi wajinga wa sisiemu kwa lengo Lao walijualo wao kumchafua asiyechafuka!
Umesoma swali na kulijibu kama linavyo uliza au ndio umeleta porojo nilizo zikataa toka awali kabisa ?Porojo zipi? DGP growth rate ilipungua awamu ya Mwendazake kulinganisha na awamu zilizotangulia..
Figures ziko hapo fanya simple maths ya kutoa na kugawanya times 100 utapata majibu.
Hebu weka hiyo makala ya Business Insider tuone kama wameandika "Magufuli alivyoharibu uchumi takwimu hazidanganyi."Waulize Business Insider watakwambia matokeo
Attachment iliyoko kwenye mada inamtaja nani? Acha utotoHebu weka hiyo makala ya Business Insider tuone kama wameandika "Magufuli alivyoharibu uchumi takwimu hazidanganyi."
Yaani hoja yangu ni kwamba hicho kichwa cha mada ulichoandika ni tafsiri yako ya hizo takwimu za Benki Kuu.
Ndo maana nimekuuliza kama unaelewa ulichokisoma? Na ili uelewe inatakiwa uwe na ufaulu wa Hisabati na Uchumi.
Huu ushuzi si umuhadithie Bibi yako na mabektatu. Eti maughuli alighalibu uhumi. Pumbaav mijizi ipo mingi likiwemo hili.Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
👇
Hoja hujibiwa Kwa hoja na Namba hazidanganyiHuu ushuzi si umuhadithie Bibi yako na mabektatu. Eti maughuli alighalibu uhumi. Pumbaav
mbona huyo jamaa ni mweupe sana, na yuko hapa si kwa bahati mbaya,?Hebu weka hiyo makala ya Business Insider tuone kama wameandika "Magufuli alivyoharibu uchumi takwimu hazidanganyi."
Yaani hoja yangu ni kwamba hicho kichwa cha mada ulichoandika ni tafsiri yako ya hizo takwimu za Benki Kuu.
Ndo maana nimekuuliza kama unaelewa ulichokisoma? Na ili uelewe inatakiwa uwe na ufaulu wa Hisabati na Uchumi.
Huu ni ushahidi kuwa hujui unachoongea.Attachment iliyoko kwenye mada inamtaja nani? Acha utoto
Hakuna cha namba wala nini maendeleo tuliyaona kwa macho. Hiyo minamba yenu ya kudanganyia watu wadanganyeni ndugu zenuHoja hujibiwa Kwa hoja na Namba hazidanganyi
Hata mi naona. Bahati mbaya simjui ndo nimekutana na hii post ila kwa jinsi anavyojibu maswali niliyomuuliza nimeshaona kweli ni mweupe.mbona huyo jamaa ni mweupe sana, na yuko hapa si kwa bahati mbaya,?
Anatimiza kile alichotumwa na wanamtandao wa uchafuzi!
Ni wa kupuuza tu
Samia atawafunika wote hao wanaume mpaka mtashangaa..👇Hakuna cha namba wala nini maendeleo tuliyaona kwa macho. Hiyo minamba yenu ya kudanganyia watu wadanganyeni ndugu zenu
Walinda legacy wanakuja jiandae!!Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
👇
Mbona tulisema sana.Habari zenu wanabodi..