Hivi ndivyo Jimmy Carter alivyobaki. Ndiyo tujue sasa dunia haina urafiki

Kwa Mzee Jimmy Carter ulitaka Mungu ampe nini zaidi ya aliyokwishampa? Hoja ni wewe utakufa na miaka mingapi, ukiwa nani Mtaa kwako?
 
Sasa si ni uzee Na ugonjwa? Cha ajabu ni kipi hapo? Na uzee lazima ukukute,lakini haifuti hiyo historia yake , mengine hayana maana
 
Huyo jamaa aliyeanzisha uzi amekuwa kama kachanganyikiwa.

Haeleweki shida yake ni nini hasa.

Je, hakutaka Jimmy Carter afikishe miaka 99?

Hataki Jimmy Carter ahudumiwe na waangalizi maalumu?

Ujinga ni mzigo.
 
Dunia si rafiki wa binadamu.
Ukiwa na akili nzuri huwazi kula vizuri na kutengeneza matukio pekee ili usifiwe.
 
Kila kilichozaliwa
Kitazeeka na kufa huwezi kukwepa

Njia pekee ni kutokuzaliwa
 
kwanza huyo alitaka mwenyewe apelekwe huko baada ya kuona hakuna tena matibabu ambayo yangemfaa, na siyo kwamba serikali yake imeshindwa kuhumuhudumia.

Mtu mwenyewe ana miaka 98 nadhani unatarajia angeishi mpaka lini? Hapo Mwenyezi Mungu amemzawadia uhai mrefu na kwa wakati wake alikuwa mtu mwema na wala siyo mpenda mbwembwe.
 
Jee unaamini kuwa hiyo ni zawadi kweli.Na kama ni zawadi kweli na wewe unapenda zawadi kama hiyo.
Ukipewa hiyo zawadi ya umri mrefu mpaka miaka 150 unakusudia kuitumia vipi zawadi hiyo.
 
Dunia si rafiki wa binadamu.
Ukiwa na akili nzuri huwazi kula vizuri na kutengeneza matukio pekee ili usifiwe.
Shida yako ni nini hasa?

Hueleweki.

Onyesha shida hapo nini?

1. Kila mtu atafarili iwe kwa uzee, ugonjwa au ajali.

2. Watu wengi wakifika umri mkubwa hupata maradhi na nimuhimu kupata uangalizi wa madaktari, kama uwezo upo.

3. Jimmy Carter anamiaka 99. Je, ulitegemea umri huo awe sawa kiafya?

4. Ukichunguza vitu ulivyoandika kwenye uzi na comments zako utagundua unatatizo la uelewa kwasababu hautaki au huwezi kufikiri sawa sawa.
 
Jee unaamini kuwa hiyo ni zawadi kweli.Na kama ni zawadi kweli na wewe unapenda zawadi kama hiyo.
Ukipewa hiyo zawadi ya umri mrefu mpaka miaka 150 unakusudia kuitumia vipi zawadi hiyo.
hiyo iko nje ya uwezo wangu, ni Mungu mwenyewe ndiyo anajua amenipa mgao wa miaka mingapi.
 
Sijaelewa mantiki ya huyu mtoa maada! Hutaki watu watafute kwamba wasubiri tu kifo.
Kifo ni haki ya kila kiumbe chochote kilicho hai bila kujali uliishi vipi na ulimiliki nini ulipokua hai.
Death is Inevitable! Dont get scared.
 
Nionavyo mimi wewe ndio una shida ya kuwaza.
Unamuona mzee kama huyo aliyewahi kuwa raisi wa taifa kubwa halafu unasema kila kitu ni kawaida tu.Huchukui funzo hata moja.
 
Kabisa mimi sijamwelewa hasa analenga nini? Labda upeo wa mtoa maada ni mdogo
 
Sijaelewa mantiki ya huyu mtoa maada! Hutaki watu watafute kwamba wasubiri tu kifo.
Kifo ni haki ya kila kiumbe chochote kilicho hai bila kujali uliishi vipi na ulimiliki nini ulipokua hai.
Death is Inevitable! Dont get scared.
Yaani akili yako imekufikisha hapo tu.Kuwa death is inevitable !
 
Yupo kwenye hospice kitambo ila hafi.
 
Point yako ni ipi hapa? Au mimi ndiye kiazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…