Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Nahisi CAG anakagua matumizi ya Ruzuku na si michango ya Wabunge au vipi
Kwani hao wabunge ndiyo wanachama zaidi hadi wao waseme wanataka kujuwa wakiwa bungeni Kwani matumizi ya CHADEMA si yanakaguliwa na CAG na anatoa taarifa inayosomwa kwenye vikao vya chama. Huyo Lijuakali sikuwa najuwa kama mbunge mjinga kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ngoja tukokotoe maana namba huwa hazidanganyi:
1. Posho za wabunge wa majimbo na wale wa viti maalum zinalingana ie posho za vikao (sitting allowance, perdiem nk) kwa mwezi.
2. Let x = posho za kibunge per month
Hivyo kwa mbunge wa jimbo ambaye hukatwa Shs 500,000/ per month kama 10% ya posho hiyo kwa mjibu wa katiba:
Therefore 10%x = 500,000
10x /100 = 500,000/
By cross multiplication we get
x = 5 million.
Yaani posho ya kibunge kwa kila mbunge wa jimbo ni Sh 5 milioni kwa mwezi.

Kwa mbunge wa viti maalum yeye hukatwa Sh 1.5 million kwa mwezi.
Maana yake kwa mjibu wa katiba ya chama:
30%x = 1,500,000
30x/100 = 1,500,000
Hence by cross multiplication
x = 5 million.

Hadi hapo tuko pamoja.
Tatizo ni jee hizi posho ni kweli ziko constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi, kwamba ni 5 million? Kuna miezi mingi tu kwa mwaka huwa hakuna vikao vya bunge na hivyo hakuna perdiem wala sitting allowance. Kilicho constant kwa kila mbunge kwa kila mwezi ni mshahara wake. Hivyo pesa wanazokatwa ni za mishahara yao, kitu ambacho hakiko kwenye katiba yao.
 
Unahangaika na vilaza mkuu, kwao huo wanaona ni utetezi wakati ni uvunjifu mwingine wa katiba yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ruzuku na michango ya kadi za wanachama mil 6 hazitoshi kuendesha chama? Mnawapa stress Wabunge wenu kwa michango isiyo na msingi. Mizinga wanayopigwa majimboni inawatosha aisee.
Sasa huo mjadala mwingine hapa issue ni kuwa analilia nini bungeni na katiba ipo wazi?

Kujipendekeza bana kunataka uso wa Mbuzi kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaakili sana mkuu, wamekuja na utetezi unaozidi kuwavua nguo, hapo hutawaona na anatamani aifute thread yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha sana mkuu, hapo hawachomoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza volume kada, kweli hawa jamaa viazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hutawaona mkuu, hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijitoe ufahamu! Lijua Likali amehoji matumizi ya fedha hizo zilizodaiwa kuwa kwenye fixed account pamoja na matumizi ya Ruzuku aidha Kuna hoja ya mtuhumiwa kuitwa na kuhojiwa na kujieleza kwa maandishi ndani ya Siku 14 kabla ya kupewa adhabu hiyo hamjaiona siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajinga sana haka kajamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…