Chadema haijimalizi ila, ni kwamba hao wote walikua kwetu lakini hawakua wetu, wangekua wetu tungepigana vita pamoja.Na mimi nauliza kukatwa 10% ya mshahara na kukatwa 10%ya posho kupi kuna afadhali?
Je chama twawala kina hilo swala la wanachama wake kuchangishwa?
Na kwa nini malalamiko dhidi ya chadema yamekuwa mengi haswa baada ya hamahama kutokana na kusumbuliwa na chama twawala? Yaani kila anayeondoka anasababu yake....
Nahitimisha kwa kuuliza
JE CHADEMA INA JIMALIZA YENYEWE AU INAMALIZWA NA UKANDAMIZAJI WA CHAMA TWAWALA.? Wataalamu wa siasa nisaidieni katika hili.
MÊmENtO HoMO
Chadema kwa ten percent hamjambo mngeshika nchi kila mradi mungeomba ten percentChadema nichama Imara kuwai kutokea Tangu siasa kuanza hapa Africa .
Chadema kwa ten percent hamjambo mngeshika nchi kila mradi mungeomba ten percent
Alichotaka kuonesha kuwa Mh.supika yuko sahihi alipokuwa anamshambulia Mbowe kuwa anawanynyasa wabunge, anawalata mishahara kimabavu......!!!
Kumbe Lijuha halijui katiba ya chama chake au ameamua tu kujifanya juha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba hii imepitwa na wakati
Kuyaona dakika ya 89 sio kigezo kwamba hayapo na hayana mantiki ya kufanyiwa kazi.Alisoma katiba akakubaliana nayo........kaka hata hujiulizi kwamba haya anayaona dakika ya 89?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaongelea udikteta wakati dikteta ambaye pia ni mpigaji wanae ndani ya nyumba yao.Msifunike kombe mwanaharamu apite kanusheni kwa kuweka ushahidi wa hizo pesa zilipokwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema (Lijualikali) wanakatwa 500000 kila mwezi-hakusema zinatoka kwenye mshahara wala posho. Katiba inasema posho. Issue hapa je katiba ya CDM inaruhusu makato ya kuchangia chama? Supika anataka kutuambia makato hayo ni haramu wakati katiba inaruhusu. Kwangu mimi hii ndiyo issue Supika anapotosha full stop. Hizo 500000 wanazipataje mimi hainihusu wao ni watu wazima waulizane huko huko CDM.Posho ni mshahara we kilaza? katiba inasema watakatwa posho na si mshahara kama ambavyo inafanyika, huo ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya chama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo, huwezi kufanya lolote.Baada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
una maanisha nini ?Muongo, huwezi kufanya lolote.
Baada ya muda mfupi nitaweka hapa hela alizolipwa Lijuakali pamoja na A/C namba iliyotumika , nasubiri ushauri wa mwanasheria wangu
SACCOS. Hivi mbunge wa viti maalum jimbo lake ni chama?
Kuchangia si tatizo lakini hoja ni kwamba pesa hizo zinatumikaje?Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
CAG aliikagua CHADEMA na akatoa hati SAFI, fuatilia
Nakumbuka mlivyokuwa mkimsifia kuwa ni kamanda kipindi mnamtia kichwa hadi kufungwa. Hiyo ndiyo hasara ya kukurupuka kusifia kila ujinga. Sasa kawaumbua. Analiaaaaaaaaaa!!!!Wewe una roho ngumu mkuu, mimi nisingesubiri ushauri wa mwanasheria kwa mpuuzi anayelia kudai kaonewa kumbe mnunuzi amefika bei. Bandika hiyo skendo hapa mkuu