Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

Kwani Ruzuku na michango ya kadi za wanachama mil 6 hazitoshi kuendesha chama? Mnawapa stress Wabunge wenu kwa michango isiyo na msingi. Mizinga wanayopigwa majimboni inawatosha aisee.
Ukipenda boga penda na ua lake..
 
Mbona bandiko lako ni la kichukichuki..na kwanini unataja ukabila kwenye bandiko lako.tukiamua kuzungumzia ukabilaKuna aliyesalama..kweli...Watanzania tupendane tuache kuchukiana ndugu zangu...hii Tanzania ni yetu sote..kikubwa tujiepushe na siasa za chuki,ukabila,udini na ukanda..madaraka Ni dhamana..leo Upo kesho haupo..kikubwa Upendo ...tuipige vita chuki na mtu Fulani au na watu Fulani..TUPENDANE NA TUVUMILIANE KWA TOFAUTI ZETU
 
Ni kweli kwa sababu kwenye sheria hiyo wamesema posho na sio mshahara, kwa hiyo kuwakata kwenye mshahara ni kuwaonea,
Nilichogundua kumbe huko ufipa akili zote ni matope hamjui sheria, kitu kimeandikwa posho nyie mnashabikia kukatwa mshahara,
Kumbe hujaelewa, spika ndiye aliyekuwa anadai wanakatwa mishahara kibabe, katiba inasema ni posho na siyo mishahara. Na siyi kweli kwamba wanakatwa mishahara. Sasa hapo mwenye akili matope nani? Ni huyo aliyejiliza kama binti aliyeachwa siku ya kufunga ndoa au wewe uliyeshindwa kuelewa nilichoandika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili hata mimi nilikuwa sijui , kwa mantiki hiyo ccm ilikuwa inaionea sana chadema kwa kejeli za kizushi . Lakini chadema waelewe tu . Kila penye mitume 12, Yuda Iskariote lazima awepo. Na U-Yuda daima umo ndani si nje. Bila Yuda, utume wa kundi lile ungekuwa mgumu. Hivyo chadema songa mbele asubuhi imekaribia .
 

Siku zote wabunge wamekuwa wakisema wanakatwa mshahara, na hakuna aliesema kuwa ni posho miaka yote,
Katiba inasema vingine, utekerezaji unatumika kivingine, nadhani wangetekereza kutokana na katiba hakuna mtu angelalamika kwa sababau anajua ni wajibu.
 
Takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hili la kuchangia chama lipo kikatiba, sasa mbona Lijualikali analia bungeni
Lijua yeye ana shida na matumizi ya hela hizo, hana shida na utaratibu wa namna zinavyopatikana
 
Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Hajasema kuwa fedha zinachangishwa kinyume cha sheria, anasema kuwa zinaliwa, yaani zinafanya kazi inayotakiwa kufanywa kwa kutumia ruzuku ya chama
 
Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Inaonekana wazi kuna mkakati mkubwa wa kuibomoa CHADEMA. Huyu Lijualikali si ndio mbunge amenyanyaswa sana na serikali ya CCM? mashitaka ya kubambikizwa yasiyokwisha, na kuna wakati Tundu Lissu alikuja kupangua baadhi ya kesi hizo. Leo anaibuka kwa staili hii?
 
Hiyo ndiyo siasa mkuu,
Lowassa, Sumayi wako wapi?
Hata yule aliyeitwa tumbili naye yuko wapi?
Si naye kaenda huko huko ambako walimwita
2mbili? Wako wemgi tu.
Acha kila mmoja aoneshe rangi yake halisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakumbuki kwamba hapa chini ya jua hakuna sili wanafika bei hoja hawana wanabaki kumtukana mwamba Mbowe
 
Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
Kwanini afukuzwe chama isivyo kidemokrasia kama ambavyo cdm wanajinadi kuwa wana demokrasia?

Cdm hapo mmefeli jisahihisheni.
Na huwa hampendi kuambiwa ukweli wa makosa yenu, hii inawafanya msiwe tofauti na ccm na pengine nyie kuwa wabaya zaidi.

Jisahihisheni bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala sio kuchangia ata Ljuakali alisema hakukuwa na tatizo katika ilo shida ni michango kutojulikana imeenda wap


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…