Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Hata mimi. Na ujumbe wangu wa kwanza nilireply kwenye thread fulani hivi.
Nilikuwa navutiwa sana na mijadala kila nikisoma wakati wa kutafuta taarifa fulani google. Nikaona bora nijiunge. Na hadi sasa, haiwezi kupita siku sijaingia JF. Hongera kwa waanzilishi wa jf
 
Wabarikiwe sana na naona ni platform nzuri inayokua kwa kasi Sana sikuizi
 
Kupitia page yao ya Facebook, nilipokuwa nasoma habari iliyopostiwa then naambia soma zaidi (link), nilipofungua link nikakuta watu wanajadili, nilipotaka nami kutia neno nikaambia jisajili kwanza ndio nikajisajili.

Tangu siku hiyo FB nikaachana nayo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…