Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Nasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅
Sababu kubwa ya kumuacha ni
1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa
2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote
3. Ana kelele na lugha chafu na kunikosoa bila staha.
4. Anadharau kabila langu. Alikubali nikamlipia mahari akijua kwamba mimi ni Maasai lakini tangu nimfikishe kwangu amekuwa kila jambo anaanza na sentensi "tatizo nyie Wamaasai...."
5. Ni raia wa Nchi ya jirani, hilo sikufahamu mapema kwani yenye na wazazi wake wanaishi hapa nchini bila vibali na Migration Tanzania imelala-lala tu. zaidi ya 50% ya wananchi wa Kigoma siyo Watanzania
6. Alikuwa anachati na wanaume wengi, kila nilimuuliza anasema ni X. sasa sijajua alikuwa na ma X wangapi
nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuta majivu. Kwa ufupi serikali ilinisaidia sana maana waliona hadi mwanaume aripoti kisa kama hiki maana yake yupo serious. Ni kwa nadra sana kuona mwanaume ameenda ustawi wa jamii na polisi dawati la jinsia.
Hivyo Ndivyo Nilivyofanikiwa kumnawa yule Kibaka.
ngara