Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kinywaji chao ni mbege ??
Mlifanya jambo jema kukubaliana kumaliza migogoro yenu ndani, nawaombea Mungu hata mkija kuoana muwe mnamaliza migogoro yenu ndani...!Kuna manzi wakati tunaanza sharti letu la kwanza kabisa la kuingia kwenye hii kitu vijana wanaita mahusiano maana mnapochagua kuingia kwenye mahusiano yaan relationship ni sawa mnaanza kuunda partnership then baadae yanafuata masuala ya ndoa mnaanzisha kampuni yenu wanafuata watoto na kadharika,
katika makubariano yetu tuliwekeana masharti na vigezo kila mmoja akatoa cha kwake mimi nikamwambia sipendi maneno makali na sipendi ugomvi maana ukiniletea maneno makali ukiniletea ugomvi unatoa hukumu kabla ya kusikiliza kifuatacho nanyanyua mkebe akasema sawa hilo halina shida na nimeona mwenendo sio mbaya kila akijisahau namrudisha kwenye mstari mimi sipendi ugomvi sababu namna ya kudhibiti hasira zangu muda mwingine ni ngumu sana sichelewi kutupa kofi akasema haina shida adabu na utii,
yeye akaweka sharti lake moja tu na lenyewe ni kwamba hata itokee kitu gani tusihamishe migogoro yetu kwenda kwa watu wengine yeye hatomwambia mtu na mimi nisimwambie mtu yeeyote kuhusu migogoro yetu ya ndani km tunakufa na migogoro yetu basi tufe nayo wenyewe, mwanzo nikashtuka nikajiuliza hili sharti lina maana gani? Ila ikabidi niitikie tu maana si masharti inabidi ukubari tukasign in mambo mengine yakaendelea, kwa hio migogoro ya ndani tunaimaliza ndani kwa ndani hakuna kwenda kusema popote na mimi nimemkataza achunge domo lake domo lisije likamponza
Hakuna Mwanaume anayependa Dharau, ila umesikia upande mmoja tu umetoa hukumu, Binadamu ana tabia ya kuvutia kwake hasa kama akijua Mshindani wake hayupo...!Mkuu,mwanaume anayejielewa hawezi kuvumilia dharau kutoka kwa mkewe,
Ukiona Panya anakuchezea ujue shimo lake lipo karibu.
Eti utavumilia vyote kasoro usaliti!Tabia ambayo siwezi kuivumilia kwa mwanamke ni usaliti tu mengine yote yanavumilika
Kuchati na ma Ex sio usaliti?Wewe Masai Una Matatizo,siku zinakuja utakuja kumkumbuka huyo Mwanamke...!
Nilidhani Kuna Malalamiko ya Usaliti...!? Hayo mapungufu karibia yote ulisema wanawake aslimia kubwa wako hivyo, tofauti ni kuwa mwingine atawaambia marafiki Mambo ya familia ama changamoto za familia, mwingine atasema Kwa jirani, mwingine Kwa Ndugu, mwingine hata Mtandaoni... Hukuona Kwa Mke wa Shoboka!? Tena Kanisani...!
Mrudie Mke wa
ChaiNasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅
Sababu kubwa ya kumuacha ni
1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa
2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote
3. Ana kelele na lugha chafu na kunikosoa bila staha.
4. Anadharau kabila langu. Alikubali nikamlipia mahari akijua kwamba mimi ni Maasai lakini tangu nimfikishe kwangu amekuwa kila jambo anaanza na sentensi "tatizo nyie Wamaasai...."
5. Ni raia wa Nchi ya jirani, hilo sikufahamu mapema kwani yenye na wazazi wake wanaishi hapa nchini bila vibali na Migration Tanzania imelala-lala tu. zaidi ya 50% ya wananchi wa Kigoma siyo Watanzania
6. Alikuwa anachati na wanaume wengi, kila nilimuuliza anasema ni X. sasa sijajua alikuwa na ma X wangapi
nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuta majivu. Kwa ufupi serikali ilinisaidia sana maana waliona hadi mwanaume aripoti kisa kama hiki maana yake yupo serious. Ni kwa nadra sana kuona mwanaume ameenda ustawi wa jamii na polisi dawati la jinsia.
Hivyo Ndivyo Nilivyofanikiwa kumnawa yule Kibaka.
ngara
Mengine yote, Utavumilia na kuuwawa abaki na mali? Maana kuna wenye tamaa mpaka anaona roho yako ndo kizingiti.Tabia ambayo siwezi kuivumilia kwa mwanamke ni usaliti tu mengine yote yanavumilika
Nafuu hujamuuaNasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅
Sababu kubwa ya kumuacha ni
1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa
2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote
3. Ana kelele na lugha chafu na kunikosoa bila staha.
4. Anadharau kabila langu. Alikubali nikamlipia mahari akijua kwamba mimi ni Maasai lakini tangu nimfikishe kwangu amekuwa kila jambo anaanza na sentensi "tatizo nyie Wamaasai...."
5. Ni raia wa Nchi ya jirani, hilo sikufahamu mapema kwani yenye na wazazi wake wanaishi hapa nchini bila vibali na Migration Tanzania imelala-lala tu. zaidi ya 50% ya wananchi wa Kigoma siyo Watanzania
6. Alikuwa anachati na wanaume wengi, kila nilimuuliza anasema ni X. sasa sijajua alikuwa na ma X wangapi
nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuta majivu. Kwa ufupi serikali ilinisaidia sana maana waliona hadi mwanaume aripoti kisa kama hiki maana yake yupo serious. Ni kwa nadra sana kuona mwanaume ameenda ustawi wa jamii na polisi dawati la jinsia.
Hivyo Ndivyo Nilivyofanikiwa kumnawa yule Kibaka.
ngara
Hii kauli itaponza wanawake bro. Kwa wanaume wengi, ukishajua mke ni Chawote mzuka unakata mazimaHakuna mwanamke au mwanaume asiechepuka. Tofauti yake ni swala la muda, timing, au uwezo wa kutunza siri.