Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Hongera sana mkuu kwa kufuata utaratibu mzuri kuachana na huyo jambazi wa mapenzi.
 
Mpaka sasa kuna wanawake watatu waliouwawa ikisemekana ni visa vya mapenzi,hii ni ndani ya mwezi mmoja
 
Ila JF wanawake tunasemwa jamani doh kila siku threads mpya za wanawake

Mtupumzishe jamani
 
Kuna Mzee alisema kitu pekee ambacho kinamuumiza kuhusu mkewe ni mdomo na maneno makali ya kuudhi na kukatisha tamaa huo ni zaidi ya usaliti unaambiwa ..mwanaume wewe mwanaume unajua kuvaa suruali tu na mashati utakua mwanaume wewe? Kuna wanaaume wewe sio mwanaume muone kwanza nitokee hapa sikutaki mwanaume gani wewe?

Usishike Bastora Mwanaume
ongezea hapo....."wanaume kibao walikuwa wananifuata sijui nilikosea wapi mchicha mwiba wewe"....
 
Back
Top Bottom