Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Brother hivyo vingine vyote vinavumilika hata akikusaliti na ukamkuta yupo juu ya kifua cha mwanaume mwingine akakupa maneno maneno matamu ya kukutia moyo na kutokukukatisha tamaa usahau usaliti na ukumbuke wema wake wa muda wote unaweza ukarudisha moyo nyuma ila sio kukuletea mdomo bwaku domo limejaa fungus anabwatuka km mashine ya kuchana na kulanda mbao atapasuka kichwa na kumwagika ubongo
Ukiweza kuvumilia usaliti wa mwanamke basi hakuna kitu huwezi kuvumilia mkuu.
 
Nasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅

Sababu kubwa ya kumuacha ni
1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa
2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote
3. Ana kelele na lugha chafu na kunikosoa bila staha.
4. Anadharau kabila langu. Alikubali nikamlipia mahari akijua kwamba mimi ni Maasai lakini tangu nimfikishe kwangu amekuwa kila jambo anaanza na sentensi "tatizo nyie Wamaasai...."
5. Ni raia wa Nchi ya jirani, hilo sikufahamu mapema kwani yenye na wazazi wake wanaishi hapa nchini bila vibali na Migration Tanzania imelala-lala tu. zaidi ya 50% ya wananchi wa Kigoma siyo Watanzania
6. Alikuwa anachati na wanaume wengi, kila nilimuuliza anasema ni X. sasa sijajua alikuwa na ma X wangapi

nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuwa majivu. Kwa ufupi serikali ilinisaidia sana maana waliona hadi mwanaume aripoti kisa kama hiki maana yake yupo serious. Ni kwa nadra sana kuona mwanaume ameenda ustawi wa jamii na polisi dawati la jinsia.

Hivyo Ndivyo Nilivyofanikiwa kumnawa yule Kibaka.
ngara
Wachaga njoon mjifunze huku
 
Wewe Masai Una Matatizo,siku zinakuja utakuja kumkumbuka huyo Mwanamke...!

Nilidhani Kuna Malalamiko ya Usaliti...!? Hayo mapungufu karibia yote ulisema wanawake aslimia kubwa wako hivyo, tofauti ni kuwa mwingine atawaambia marafiki Mambo ya familia ama changamoto za familia, mwingine atasema Kwa jirani, mwingine Kwa Ndugu, mwingine hata Mtandaoni... Hukuona Kwa Mke wa Shoboka!? Tena Kanisani...!

Mrudie Mke wa
Mkuu,mwanaume anayejielewa hawezi kuvumilia dharau kutoka kwa mkewe,
Ukiona Panya anakuchezea ujue shimo lake lipo karibu.
 
Kuna manzi wakati tunaanza sharti letu la kwanza kabisa la kuingia kwenye hii kitu vijana wanaita mahusiano maana mnapochagua kuingia kwenye mahusiano yaan relationship ni sawa mnaanza kuunda partnership then baadae yanafuata masuala ya ndoa mnaanzisha kampuni yenu wanafuata watoto na kadharika,

katika makubariano yetu tuliwekeana masharti na vigezo kila mmoja akatoa cha kwake mimi nikamwambia sipendi maneno makali na sipendi ugomvi maana ukiniletea maneno makali ukiniletea ugomvi unatoa hukumu kabla ya kusikiliza kifuatacho nanyanyua mkebe akasema sawa hilo halina shida na nimeona mwenendo sio mbaya kila akijisahau namrudisha kwenye mstari mimi sipendi ugomvi sababu namna ya kudhibiti hasira zangu muda mwingine ni ngumu sana sichelewi kutupa kofi akasema haina shida adabu na utii,

yeye akaweka sharti lake moja tu na lenyewe ni kwamba hata itokee kitu gani tusihamishe migogoro yetu kwenda kwa watu wengine yeye hatomwambia mtu na mimi nisimwambie mtu yeeyote kuhusu migogoro yetu ya ndani km tunakufa na migogoro yetu basi tufe nayo wenyewe, mwanzo nikashtuka nikajiuliza hili sharti lina maana gani? Ila ikabidi niitikie tu maana si masharti inabidi ukubari tukasign in mambo mengine yakaendelea, kwa hio migogoro ya ndani tunaimaliza ndani kwa ndani hakuna kwenda kusema popote na mimi nimemkataza achunge domo lake domo lisije likamponza
M Bwana nilioa 5 nov 2005
Azania front
20 Dec 2005
Nkaona nihitimishe rasmi ndoa yetu kwa yaliyonikuta mda mchache woii

Halika nikimshukuru Mungu kwa kuniomgoza na kunipa maamuzi nagumu kama tale ambayo yamenifanya pengine niendelee kuwa hai mpaka sasa else ningekuwa nasalimiana na Jennifer mda hii
 
Mimi nimesema tu kuhusu dharau lakini kitu cha mwanzo kinachonifanya nimuache mwanamke sio tu usaliti lakini pia nikiona dalili za usaliti mapema sana nakimbia.
Usaliti unauma na unaondoa uaminifu.
Kama haujawa tayari kusamehe usaliti, usioe. They all cheat. Ni suala la muda tu.
 
M Bwana nilioa 5 nov 2005
Azania front
20 Dec 2005
Nkaona nihitimishe rasmi ndoa yetu kwa yaliyonikuta mda mchache woii

Halika nikimshukuru Mungu kwa kuniomgoza na kunipa maamuzi nagumu kama tale ambayo yamenifanya pengine niendelee kuwa hai mpaka sasa else ningekuwa nasalimiana na Jennifer mda hii
😂😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kusema ndoa haikufikisha hata mwezi si ndy maana yake?
 
Kama haujawa tayari kusamehe usaliti, usioe. They all cheat. Ni suala la muda tu.
They all cheat Kwa research ipi?. Sikupingi lakini nisijue kama atafanya hvy ntamuacha tu bila kuwaza Nini athari zake siwezi kaa na mtu anaeniletea uchafu nyumbani kwangu.
Na mwanaume kuvumilia usaliti huo ni udhaifu wa kiwango cha reli.
 
Usaliti ni usaliti tu haijalishi unajua au haujui.

Ukioa jua kuna siku isiyokuwa na jina utagundua umesalitiwa na utakuwa na options mbili:
  • Usamehe udhihirishe udhaifu wa kiwango cha juu ambacho umetumia maisha yako yote kuupinga
  • Muachane ili muda, hisia, rasilimali, pengine watoto, n.k. mlichojenga kwa muda mrefu kipotee

Ndio maana ili msifike huko, kama unajua hauwezi kusamehe usaliti, usioe.

Be realistic.
 
Hilo jambo namba 1. Siwezi lifanya mkuu.
Kama ni Mali zote nimeandika Kwa jina mama yangu na home wakiume nipo peke yangu na sister 2, na nimemuomba mother kuandika wasia akienda akhera Mali ni zangu na nkitangulia Mimi Mali ni za watoto.
Hisia Kwani umeshaachana wanawake wangapi mbaka Sasa hivi mkuu. Watoto isiwe kisingizio cha kuishi na mtu msaliti. Kinachokufanya kuvumilia hvy vyote ni Uoga acha uoga mkuu. Usaliti sio wa kuvumiliwa
 
Sasa shida zote hizo za kuficha mali, wosia, kunyanyasa watoto post-break up, n.k. za nini wakati una simple option ya kutokuoa!!?

Kwanini uanzishe vita ambayo unajua hauwezi kushinda? Haya mkuu, kupanga ni kuchagua.

Kila la kheri kwako.
 
Na ikawe kheri mkuu. Huwezi kujua nyumba imepakwa rangi gani na uzuri wake mbaka uingue ndani kwanza binafsi nataka kuingia nijionee mwenyewe Kwasababu sipendi uhuni wa kuwa na wanawake hovyo unakuta una wanawake 8 hujawaowa Sasa shida zote za Nini mkuu. Au uko kwenye ubachela ni puchu tu Kila siku.
 
Tuanze na swali la msingi mkuu. Ulimkuta bikra? Kama sivyo, basi hakuwa mke wako. Ulioa mke wa mtu/watu, maana inategemea kwenye foleni ulikuwa namba ngapi. Usirudie makosa.
 
nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuwa majivu
Nasikia Temeke kule ndio wako faster sana kuvunja ndoa, huwa haianaga kuijiuliza mara mbili mbili kikubwa tu uwape cha kwao
 
Brother hivyo vingine vyote vinavumilika hata akikusaliti na ukamkuta yupo juu ya kifua cha mwanaume mwingine akakupa maneno maneno matamu ya kukutia moyo na kutokukukatisha tamaa usahau usaliti na ukumbuke wema wake wa muda wote unaweza ukarudisha moyo nyuma ila sio kukuletea mdomo bwaku domo limejaa fungus anabwatuka km mashine ya kuchana na kulanda mbao atapasuka kichwa na kumwagika ubongo
Mwanamke akikusaliti ukamsamehe ujue hiyo itaendelea kukuumiza throughout your life!
 
Back
Top Bottom