Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Ukiweza kuvumilia usaliti wa mwanamke basi hakuna kitu huwezi kuvumilia mkuu.
Mdomo mchafu wa mwanamke siwezi kuuvumilia mdomo mchafu ndio unaosababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuwafanya wale waganga feki wapige hela kila siku, wewe hapo ukitukaniwa mama yako tu na kajamaa fulani Cortisol inaongezeka mwilini kupita kiwango Testosterone inapanda huku Adrenaline inaongezeka mara dufu
 
Mwanamke akikusaliti ukamsamehe ujue hiyo itaendelea kukuumiza throughout your life!
Usaliti namba moja ni kunitamkia maneno mabaya yasiyo na afya kwa ubongo wangu hio ni moja ya nafasi ya kumuacha aende sihitaji mjadala katika hilo akiniletea usaliti wa aina hio we're done napenda mwanamke mkimya sio mropokaji hovyo hovyo mdomo km filimbi sijui km chiriku no
 
Hao wakimya ndio wachepukaji hatari na wanakigawa kama sio wao
 
"Tatizo nyie wamasai"...
20250918_095100.jpg

Baas!!!
 
yaan mliocomment nawaoan wa5 tu wenye ndoaaaaa zao mliobakia kama hamjaachana nawaona mnakaribia kuachana....

haya mapepo ya kuachana yashindweee kabisaa
 
nyota za kuachika
😆 😂
😆 😂 😆
Ndio maana sometimes napenda kujiachia ili kusudi hata siku ikitokea tukaachana na mtu basi mimi nilishafanyaga mazoezi ya kujiachia muda mrefu kitambo hio inakusaidia kisaikolojia unakua upo physically fit
 
Hao wakimya ndio wachepukaji hatari na wanakigawa kama sio wao
Ndio napenda maanzi wa hivyo hata akiwa anagongwa huko basi kelele zake ziishie huko huko asije akazihamishia kwangu maana na mimi nitakua nagonga nje kwa hio tuishi kwa timing kila mtu ajue kuishi ndani ya mstari wake mpaka siku tuje kubumiana km Mr. & Mrs. Smith
 
Hio sio ndoa bora mfanye kununuana tu
 
Mdomo mchafu wa mwanamke siwezi kuuvumilia mdomo mchafu ndio unaosababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuwafanya wale waganga feki wapige hela kila siku, wewe hapo ukitukaniwa mama yako tu na kajamaa fulani Cortisol inaongezeka mwilini kupita kiwango Testosterone inapanda huku Adrenaline inaongezeka mara dufu
Sawa mkuu
 
Usaliti namba moja ni kunitamkia maneno mabaya yasiyo na afya kwa ubongo wangu hio ni moja ya nafasi ya kumuacha aende sihitaji mjadala katika hilo akiniletea usaliti wa aina hio we're done napenda mwanamke mkimya sio mropokaji hovyo hovyo mdomo km filimbi sijui km chiriku no
Akiwa mpole halafu ukajishuhudia pasipo shaka anagongwa utamsamehe na maisha kuendelea pasipo shida?basi tunatofautiana pakubwa
 
Kuchati na wanaume Kwa kisingizio cha ma ex wewe huoni kama ni red flag hio
Mkuu kama ukiwachunguza Wanawake hakuna yeyote ambaye angeolewa, Juzi nilikua nasafiri Dodoma, so nikatoka mapema alfajiri Nyumbani coz nilikua nasafiri na SGR, nikachukua Bajaji safari Posta, tukiwa njiani yule Dereva from nowhere tu akaniuliza, Brother, hivi ukimfumania Mke wako mara 3 unamfanyaje!?

Alinistua kidogo, kwanza hatufahamiani, nimekuta tu barabarani, nikamuuliza maswali kidogo kumdadisi, akanambia ameshawahi kumfumania wife wake mara 3, na Wana Watoto 3, akafunguka mambo mengi sana, nikamwambia najua sio mara ya kwanza kumbeba abilia mmoja Kwa route ndefu lakini labda sio klla wakati unahadithia Abilia changamoto zako, akasema haijawahi kumweleza abilia ama mtu wa kawaida anayopitia, ila baada ya Mimi kupanda Bajaji yake, akajiskia ndani yake kunishirikisha, akasema sikujui ila ndani yangu uko na msaada, Mimi nilikua Kwa Nini aliamua kuniambia, ilikua sababu ya mambo ya Kiroho zaidi.

Nilimshauri kadri Mungu alivyokua akiniongoza.

Je ! Ingetokea Kwa Masai SI ndiyo angeua Mtu...!? Wanawake wengine tupo nao Kwa ajiri ya kusudi, ni jukumu lako kuhakikisha utengano usiwepo, Huwa haitokei tu Mwanamke akaanza Vurugu, inaanza mbali, na mara nyingi chanzo ni Wanaume ama Kwa tabia zetu za aza za kiume, ama tabia ngeni.
 
Mh mungu asimamie Kwa kweli.
 
Back
Top Bottom