Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Ukiweza kuvumilia usaliti wa mwanamke basi hakuna kitu huwezi kuvumilia mkuu.
 
Wachaga njoon mjifunze huku
 
Mkuu,mwanaume anayejielewa hawezi kuvumilia dharau kutoka kwa mkewe,
Ukiona Panya anakuchezea ujue shimo lake lipo karibu.
 
M Bwana nilioa 5 nov 2005
Azania front
20 Dec 2005
Nkaona nihitimishe rasmi ndoa yetu kwa yaliyonikuta mda mchache woii

Halika nikimshukuru Mungu kwa kuniomgoza na kunipa maamuzi nagumu kama tale ambayo yamenifanya pengine niendelee kuwa hai mpaka sasa else ningekuwa nasalimiana na Jennifer mda hii
 
Mimi nimesema tu kuhusu dharau lakini kitu cha mwanzo kinachonifanya nimuache mwanamke sio tu usaliti lakini pia nikiona dalili za usaliti mapema sana nakimbia.
Usaliti unauma na unaondoa uaminifu.
Kama haujawa tayari kusamehe usaliti, usioe. They all cheat. Ni suala la muda tu.
 
😂😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kusema ndoa haikufikisha hata mwezi si ndy maana yake?
 
Kama haujawa tayari kusamehe usaliti, usioe. They all cheat. Ni suala la muda tu.
They all cheat Kwa research ipi?. Sikupingi lakini nisijue kama atafanya hvy ntamuacha tu bila kuwaza Nini athari zake siwezi kaa na mtu anaeniletea uchafu nyumbani kwangu.
Na mwanaume kuvumilia usaliti huo ni udhaifu wa kiwango cha reli.
 
They all cheat Kwa research ipi?. Sikupingi lakini nisijue kama atafanya hvy ntamuacha tu bila kuwaza Nini athari zake siwezi kaa na mtu anaeniletea uchafu nyumbani kwangu.
Na mwanaume kuvumilia usaliti huo ni udhaifu wa kiwango cha reli.
Usaliti ni usaliti tu haijalishi unajua au haujui.

Ukioa jua kuna siku isiyokuwa na jina utagundua umesalitiwa na utakuwa na options mbili:
  • Usamehe udhihirishe udhaifu wa kiwango cha juu ambacho umetumia maisha yako yote kuupinga
  • Muachane ili muda, hisia, rasilimali, pengine watoto, n.k. mlichojenga kwa muda mrefu kipotee

Ndio maana ili msifike huko, kama unajua hauwezi kusamehe usaliti, usioe.

Be realistic.
 
Hilo jambo namba 1. Siwezi lifanya mkuu.
Kama ni Mali zote nimeandika Kwa jina mama yangu na home wakiume nipo peke yangu na sister 2, na nimemuomba mother kuandika wasia akienda akhera Mali ni zangu na nkitangulia Mimi Mali ni za watoto.
Hisia Kwani umeshaachana wanawake wangapi mbaka Sasa hivi mkuu. Watoto isiwe kisingizio cha kuishi na mtu msaliti. Kinachokufanya kuvumilia hvy vyote ni Uoga acha uoga mkuu. Usaliti sio wa kuvumiliwa
 
Sasa shida zote hizo za kuficha mali, wosia, kunyanyasa watoto post-break up, n.k. za nini wakati una simple option ya kutokuoa!!?

Kwanini uanzishe vita ambayo unajua hauwezi kushinda? Haya mkuu, kupanga ni kuchagua.

Kila la kheri kwako.
 
Sasa shida zote hizo za kuficha mali, wosia, kunyanyasa watoto post-break up, n.k. za nini wakati una simple option ya kutokuoa!!?

Kwanini uanzishe vita ambayo unajua hauwezi kushinda? Haya mkuu, kupanga ni kuchagua.

Kila la kheri kwako.
Na ikawe kheri mkuu. Huwezi kujua nyumba imepakwa rangi gani na uzuri wake mbaka uingue ndani kwanza binafsi nataka kuingia nijionee mwenyewe Kwasababu sipendi uhuni wa kuwa na wanawake hovyo unakuta una wanawake 8 hujawaowa Sasa shida zote za Nini mkuu. Au uko kwenye ubachela ni puchu tu Kila siku.
 
Tuanze na swali la msingi mkuu. Ulimkuta bikra? Kama sivyo, basi hakuwa mke wako. Ulioa mke wa mtu/watu, maana inategemea kwenye foleni ulikuwa namba ngapi. Usirudie makosa.
 
nilivumilia hizo tabia hadi uvumilivu uliponishinda nikaenda Ustawi wa Jamii na Polisi dawati la jinsia nikawaambia ananisumbua sana njooni mumchukue, mkichelewa mtakuwa majivu
Nasikia Temeke kule ndio wako faster sana kuvunja ndoa, huwa haianaga kuijiuliza mara mbili mbili kikubwa tu uwape cha kwao
 
Mwanamke akikusaliti ukamsamehe ujue hiyo itaendelea kukuumiza throughout your life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…