Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

Hongera sana mkuu kwa kufuata utaratibu mzuri kuachana na huyo jambazi wa mapenzi.
 
Mpaka sasa kuna wanawake watatu waliouwawa ikisemekana ni visa vya mapenzi,hii ni ndani ya mwezi mmoja
 
Mengine yote, Utavumilia na kuuwawa abaki na mali? Maana kuna wenye tamaa mpaka anaona roho yako ndo kizingiti.
Mkuu mke wako akitaka kukuua ni suala la dk moja tu hata usipokuwa na Mali
 
Ila JF wanawake tunasemwa jamani doh kila siku threads mpya za wanawake

Mtupumzishe jamani
 
ongezea hapo....."wanaume kibao walikuwa wananifuata sijui nilikosea wapi mchicha mwiba wewe"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…