Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Tatizo la forex trading, watu tunataka kuivamia kama biko, yaani kucheza kwa kubahatisha. Forex trading ni topic ya kuishikia kalamu na karatasi, ikichangiwa na analysis lukuki. Na kabla washiriki hawajaielewa vizuri, waeleweshaji wakakaa mkao wa kujinufaisha kwanza….na faida nahisi inakuwa kubwa kama watu bado somo halijakolea….

Nina imani kwa sasa mtoa mada utakuwa umeielewa the hard way hasa kwenye eneo la participants wa market.
 
Time will tell
 
Matatizo ya dharau na kebehi za huyu dogo ni ya kawaida kwani ndo anabalehe,mambo ya homone,

mi nilimgundua kijana ni mpigaji tangu simulizi zake za matractor,nikaacha hata kufuatilia nyuzi zake
 
Aliwavuta.ndo maana alikuwa analeta nyuzi za forex humu.alijua akina dame tu cosita.wapo wengi humu atawapiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…