Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Kwanza nitoe shukrani za dhati kwa Ndugu Humble African kwa hiki ulichokiwakilisha hapa Jukwaani.

Hongera hizi nakupatia ndugu yangu, kwanza kwa kuwa Mkweli wa kueleza kilichotokea bila kuficha kwa uwazi kabisa, nikushukuru sana kwa hili jambo.

Sasa nije kwenye suala lenyewe na niwe Mkweli kama alivyo Ndugu Humble African, mimi nimepita TMT na nimelipa ada ya 130K na kupata Training ya Siku 5 iliyokuwa inafundishwa na Mr Rea.

Kwa kweli tulipoanza na hawa TMT hali ilikuwa shwari sana lakini baada ya muda kidogo malalamiko yakaanza kutokea na mara hii watu wakilalamikia Spreads kuwa ni kubwa sana ukifananisha na Brokers wengine. Mr Cre alilalama sana kuwa yeye anatoa Calls lakini watu wanatrade na Brokers ambao si JP Markets, bahati nzuri hili lilipita na mambo yakaendelea. Nimekuja kushangazwa na hili lililotokea kama siku 4 zilizopita limenivunja moyo sana tena sana.

Nikiwa ni mmoja wa members wa Group za Whatsapp Mentorship zinazoongozwa na Mr Cre nimeikuta sms tena iliyoandikwa na mwenyewe Cre kuwa kuna tatizo kwa broker wetu JP Markets kuwa anachotufanyia sisi Clients wake ni B Bookings, kwa tafsiri rahisi ni kuwa tunapofanya trades na yeye anapokea order zetu badala ya kuzipeleka moja kwa moja kwa Liquidity provider yeye kama yeye anabaki nazo na anafungua order against sisi ili ukipata hasara yeye anapata faida na ukipata faida yeye anapata hasara. Huu ndiyo mchezo uliokuwa unafanyika na kututia hasara mara kwa mara na kuwafanya watu kufund akaunti zao kila wakati.

Mpaka sasa hatujui kipi kinachoendelea zaidi ya Mr Cre kupost kitabu kinachoeleza A Book Brokers na B Book Brokers na tofauti zao basi.

Kutokana na haya yaliyotokea tunajifunza nini?
1.Uaminifu tuliokuwa nao kwa TMT nikimaanisha kwa Ontario, Mr Cre na Mr Rea wote umeshu ka toka 100% hadi 15%.

2.Tuwe tunahitajika kupewa mae lezo yote muhimu yanayohusu Broker ambae tunatrade nae. Nafikiri wengi tumesahau ku wa moja ya sharti lao TMT ni kutrade na Broker wao walio mchagua.
Tukiacha sharti hilo ni kuwa bado tunaweza kuendelea kutrade nao kwa Broker watakae mchagua. Sasa tunataka kupata hakikisho kuwa ni kwa namna gani tunaweza kuepukana na suala kama hili lililotokea?
 
Poleni sana ndugu wana jamii forum kwa msiba huo mzito uliowatokea.

Japo Ontario nilishawahi kubishana naye sana kupitia whatsapp na kundi lake lakini wafuasi wake wakanicheka na kunitusi mwishowe wakanitoa kwenye kundi lao la forex kupitia whatsapp, moyoni nilibaki kutabasamu nikafanya yanayonihusu unajua ni kwanini.... ?? Shetani wangu huwa haruhusu mimi kuamini na kukubali jambo lisemwalo na mtu moja kwa moja lazima niingie kusoma kwenye vitabu lakini nikaona siyo kweli hakuna pesa ya haraka haraka bila kuitolea jasho halali kuanzia kuanzia siku hiyo forex nikaachana nayo kuifatilia na sitaki kuijua, am hustle for my own..... Trust no bxtches. [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji91]
Umeanza vizuri sana ila umemalizia vibaya tatioz lako ni kuamini TMT ndio forex hahahahah.

Ulipaswa ujue kuna forex nje ya TMT na TMT ni kampuni kadogo sana ulimwemgu wa forex ni mkubwa zaidi ya ujuavyo .

Na kibaya zaidi ulikata tamaa mapema.hukutaka kutafuta ukweli mahali kwengine .

TMT ni wahuni but forex haina uhuni hata chembe u need skills and experince na hii huwezi ipata siku moja au mbili inataka moyo na wenye mioyo migumu tumebaki kwenye forex ila soio TMT na wenye mioyo miepesi kama nyie mnasepa .

Tuachane msituribie industry yetu waharibieni hao TMT tu sawa boss
 
Wahenga hawakukosea waliposema "Mtoto akililia wembe mwache ukate". Akishauia hatoshika tena, ile biashara imejaa scammers kibao kiasi kwamba hakuna wa kumuamini.
 
Umeanza vizuri sana ila umemalizia vibaya tatioz lako ni kuamini TMT ndio forex hahahahah.

Ulipaswa ujue kuna forex nje ya TMT na TMT ni kampuni kadogo sana ulimwemgu wa forex ni mkubwa zaidi ya ujuavyo .

Na kibaya zaidi ulikata tamaa mapema.hukutaka kutafuta ukweli mahali kwengine .

TMT ni wahuni but forex haina uhuni hata chembe u need skills and experince na hii huwezi ipata siku moja au mbili inataka moyo na wenye mioyo migumu tumebaki kwenye forex ila soio TMT na wenye mioyo miepesi kama nyie mnasepa .

Tuachane msituribie industry yetu waharibieni hao TMT tu sawa boss
Sidanganyiki nyooo...!! [emoji14] [emoji23]
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wewe ndiye hujamuelewa mleta mada.

Ila kwa kifupi hiki ulichoandika hata hakitofautiani na alichokiandika mleta mada sema uwasilishaji tu haufanani.
 
Kweli vyuma vinawanyoosha yaani watz siku izi mnaishi kwa kucheza kamari, si ajabu baba anamwambia mama bandika sufuria ya ugali uku mboga anasubiri ashinde biko, amkeni wabongo tuwe na pamanenti sosi ya mshiko sio ii michezo ya kuhatisha
 
MCHEZO KAMA UPI
 
Ndio maana tuliambiwa kua uyaone..!
Pole sana ila nashukuru haujatoka bure kuna kitu umejifunza.
Ukitaka kupata hela nyingi kwenye biashara uwe mwaminifu sbb ukiingiza utapeli utapata hela kwa wakati na mwisho wa siku utakosa sbb kila mtu atakukimbia kwa utapeli wako.
 
Kweli vyuma vinawanyoosha yaani watz siku izi mnaishi kwa kucheza kamari, si ajabu baba anamwambia mama bandika sufuria ya ugali uku mboga anasubiri ashinde biko, amkeni wabongo tuwe na pamanenti sosi ya mshiko sio ii michezo ya kuhatisha
Kuna watu wanaendesha maisha kwa issue hizi hizi wengine wametajirika. Km ww unafikiri ili upate pesa ni kulima au ufanye kazi kwa magu. Pole sana.
 
Kama itapendeza zaidi tushirikishe hizo njia ulizotumia na majina ya vitabu ulivyosoma kutoka kwa huyo mdau wako ili tuongeze maarifa katika kupambana na umasikini asante.
Sitaki kuitwa scammer mimi kila mtu apambane na hali yake [emoji2] .

Walimwengu wabaya sana

Endelea kuchambua hii kitu kuna siku utaibuka na kitu kizuri utashaanga mwenyewe.

Watu wampomde ontario na TMT watuachie forex yetu .
 
Sasa ulisema ili iweje kama unajua watu watakuita scammer unajishitukia kweli bongo tuna safari ndefu katika maisha au unaogopa watu watanufaika sana.
 
Kwanza nitoe shukrani za dhati kwa Ndugu Humble African kwa hiki ulichokiwakilisha hapa Jukwaani.

Hongera hizi nakupatia ndugu yangu, kwanza kwa kuwa Mkweli wa kueleza kilichotokea bila kuficha kwa uwazi kabisa, nikushukuru sana kwa hili jambo.

Sasa nije kwenye suala lenyewe na niwe Mkweli kama alivyo Ndugu Humble African, mimi nimepita TMT na nimelipa ada ya 130K na kupata Training ya Siku 5 iliyokuwa inafundishwa na Mr Rea.

Kwa kweli tulipoanza na hawa TMT hali ilikuwa shwari sana lakini baada ya muda kidogo malalamiko yakaanza kutokea na mara hii watu wakilalamikia Spreads kuwa ni kubwa sana ukifananisha na Brokers wengine. Mr Cre alilalama sana kuwa yeye anatoa Calls lakini watu wanatrade na Brokers ambao si JP Markets, bahati nzuri hili lilipita na mambo yakaendelea. Nimekuja kushangazwa na hili lililotokea kama siku 4 zilizopita limenivunja moyo sana tena sana.

Nikiwa ni mmoja wa members wa Group za Whatsapp Mentorship zinazoongozwa na Mr Cre nimeikuta sms tena iliyoandikwa na mwenyewe Cre kuwa kuna tatizo kwa broker wetu JP Markets kuwa anachotufanyia sisi Clients wake ni B Bookings, kwa tafsiri rahisi ni kuwa tunapofanya trades na yeye anapokea order zetu badala ya kuzipeleka moja kwa moja kwa Liquidity provider yeye kama yeye anabaki nazo na anafungua order against sisi ili ukipata hasara yeye anapata faida na ukipata faida yeye anapata hasara. Huu ndiyo mchezo uliokuwa unafanyika na kututia hasara mara kwa mara na kuwafanya watu kufund akaunti zao kila wakati.

Mpaka sasa hatujui kipi kinachoendelea zaidi ya Mr Cre kupost kitabu kinachoeleza A Book Brokers na B Book Brokers na tofauti zao basi.

Kutokana na haya yaliyotokea tunajifunza nini?
1.Uaminifu tuliokuwa nao kwa TMT nikimaanisha kwa Ontario, Mr Cre na Mr Rea wote umeshu ka toka 100% hadi 15%.

2.Tuwe tunahitajika kupewa mae lezo yote muhimu yanayohusu Broker ambae tunatrade nae. Nafikiri wengi tumesahau ku wa moja ya sharti lao TMT ni kutrade na Broker wao walio mchagua.
Tukiacha sharti hilo ni kuwa bado tunaweza kuendelea kutrade nao kwa Broker watakae mchagua. Sasa tunataka kupata hakikisho kuwa ni kwa namna gani tunaweza kuepukana na suala kama hili lililotokea?
Just curious, inakuwaje wanawalazimisha kutumia broker wao, ukitumia broker meingine secretly wanajuaje, wanakuchukuluia hatua gani?
 
Back
Top Bottom