Hivi ndivyo vinavyotuuma wanaume kuchapiwa wake zetu nje ya ndoa.

Umenilambisha dislike, ukweli ndio huo, aoa uchapiwe mke wako
 
Tatizo kuna vijana wanaamini na kuaminishwa wake zao ni wao tu ndio wanawachapa. Labda kama wameoa mazombi ndio hawatachapiwa
 
Kuchapiwa kunauma sana, isikie tu kwa mwenzio isikukute
Kuna rafiki yangu MTIIFU mnyenyekevu.. anampenda mkewe aisee MKEWE KAENDA KAPIGWA MBUPU MPAKA MIMBA


MKEWE MBISHI JAMAA AKAWEKA MEMORY CARD KWA SIRI IKAWA INA RECORD ANAWASILIANA NA JAMAA MPAKA ANAINGIA LODGE

MKE AKAWA ANAKATAA HACHEPUKI... NDIO JAMAA KAWEKA VOICE NOTE ZOOTE MKE AKAANZA KULIA SIKIA TU KWA MWINGINE YASIKUKUTE NA WALIZAA WATOTO WAWILI JAMAA AKAMPA TALAKA MBILI

JAMAA AKABIDI ACHUKUE MISO KIT COMBIPACK AMPE KUTOA HIYO MIMBA BWANA HII DUNIA INA MAMBO ACHA TU AISEEEE 🤔
 
Binadamu ni tofauti na Wanyama na Ndege, Binadamu alipewa akili.
P.w Botha

Alinukuliwa akisema waafrika hawafikirii mbali.. hawana plan ya mwaka, wanapenda wanawake wenye Makalio makubwa, their good for nothing, wanapenda malawama, makelele
 
kugongewa kuna jamani......jisemesheni tuu........yaani ukifikiria jinsi akupavyo utamu halafu kuna kapuku fulani kapakua akalishwa......aiseeeee........kuoa ni lazima, haiepukiki.....duh
 
Kuchapiwa hakukwepeki, utachapiwa , umechapiwa , ulishachapiwa , unachapiwa itachapwa tu
 
Kuchapiwa hakujaanza leo na wala hakutomalizika ktk kizazi chochote kile kijacho, zaidi mambo yatazidi kudevelop.
Kama Mwanaume unachotakiwa kufanya ni kutimiza majukumu yako.
Ukigongewa wewe na ukaja na maneno kama hayo ndiyo tutajua kweli unamaanisha. Mkuki kwa nguruwe tu ila kwa binadamu mchungu
 
Hakuna mwanamke anachapia. Mimi Bado haiingii kichwani. Yani uishi na Manzi umpende achepuke? sio kweli
 
Ukigongewa wewe na ukaja na maneno kama hayo ndiyo tutajua kweli unamaanisha. Mkuki kwa nguruwe tu ila kwa binadamu mchungu
Kwa akili yako, unaweza kumzuia mwanamke aliyeamua kuchepuka??
Na unajuaje kama sijawahi kugongewa??
Sikatai inauma na inaumiza kwa Mwanaume kugongewa lakini hakuna njia unaweza kufanya kumzuia mwanamke aliyeamua kufanya huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…