Ila mwalimu alikua na point, na inasemekana pia Kwame alikua anautaka urais wa muungano huo yeye mwenyewe.
Mwalimu had a logic kwa concern hii.
Badala ya afrika yote kuungana, ni muhim kwanza kukaanza muungano wa nchi katika jumuia ndogo ndogo kwanza kama eac, etc. Kisha hiz jumuia ndogo ndogo kushughukika na changamoto za muungano baina ya nchi na nchi then itakua kuziunganisha jumuia hiz kuwa nchi moja of which ita take time lakin pia itapunguza strife ya ku deal na issues nying zinazopatikana katika muingano wowote ule.
Sasa imagine eac tu ilivunjika, whay if kuiunganisha afrika nzima just at pah!!! Ni kitu kiaingekua rahis kama Kwame alivyotaka.
So Nyerere was right on this
We cheki tu Tanganyika na Zanzibar muungano wa nchi 2 ila minyukano kibao miaka mingi sasa