Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Sasa kama hoja ya mwalimu ilikua unafiki, ni kwann ya kwame iomekane ni genuine?Hakuna point hapo mkuu, mwalimu alikua na kawaida ya kuhalalisha yake kwa hoja za kulazimisha,kudai kwame alitaka kuwa rais wakati muungano wenyewe ulikua kwenye hatua ya mdahalo,ni unafiki,ukizabizabina,haya huo muungano uko wapi Leo miaka 60 baadae?!.. Africa kuwa nchi moja ilikua tishio kwa mabeberu, mwalimu ndiye aliyeogopa kukosa mamlaka ya urais,huenda agenda zake zisingekua