Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Inasikitisha.kwa ninavyoona mimi viongozi wengi wa Africa na mabara mengine ni majasusi wa Marekani a.k.a ( chawa)
Unaweza usiamini lakin woote akina Kwame , Nyerere woote hao walikia vibaraka wa wazungu. We unadhani walisomeshwa bure bure tu ulaya???kwa ninavyoona mimi viongozi wengi wa Africa na mabara mengine ni majasusi wa Marekani a.k.a ( chawa)
Kwame hakuwa kibaraka,Ila alimshutumu mwalimu kuwa kibarakaUnaweza usiamini lakin woote akina Kwame , Nyerere woote hao walikia vibaraka wa wazungu. We unadhani walisomeshwa bure bure tu ulaya???
🤣🤣🤣 unaona sasa...Kwame hakuwa kibaraka,Ila alimshutumu mwalimu kuwa kibaraka
Inafedhehesha!Aisee! This is Africa.
Wakati mwalimu anaweka mapingamizi ya afrika kuungana na kua nchi moja,inasemekana alimchana kuwa wewe ni kibaraka wa mabeberu🤣🤣🤣 unaona sasa...
Alijuaje kama kibaraka kama yeye hakua kibaraka!. Hao woote walikua waarabu wa pemba , walijuana kwa viremba vyao
Ila mwalimu alikua na point, na inasemekana pia Kwame alikua anautaka urais wa muungano huo yeye mwenyewe.Wakati mwalimu anaweka mapingamizi ya afrika kuungana na kua nchi moja,inasemekana alimchana kuwa wewe ni kibaraka wa mabeberu
Hakuna point hapo mkuu, mwalimu alikua na kawaida ya kuhalalisha yake kwa hoja za kulazimisha,kudai kwame alitaka kuwa rais wakati muungano wenyewe ulikua kwenye hatua ya mdahalo,ni unafiki,ukizabizabina,haya huo muungano uko wapi Leo miaka 60 baadae?!.. Africa kuwa nchi moja ilikua tishio kwa mabeberu, mwalimu ndiye aliyeogopa kukosa mamlaka ya urais,huenda agenda zake zisingekuaIla mwalimu alikua na point, na inasemekana pia Kwame alikua anautaka urais wa muungano huo yeye mwenyewe.
Mwalimu had a logic kwa concern hii.
Badala ya afrika yote kuungana, ni muhim kwanza kukaanza muungano wa nchi katika jumuia ndogo ndogo kwanza kama eac, etc. Kisha hiz jumuia ndogo ndogo kushughukika na changamoto za muungano baina ya nchi na nchi then itakua kuziunganisha jumuia hiz kuwa nchi moja of which ita take time lakin pia itapunguza strife ya ku deal na issues nying zinazopatikana katika muingano wowote ule.
Sasa imagine eac tu ilivunjika, whay if kuiunganisha afrika nzima just at pah!!! Ni kitu kiaingekua rahis kama Kwame alivyotaka.
So Nyerere was right on this
We cheki tu Tanganyika na Zanzibar muungano wa nchi 2 ila minyukano kibao miaka mingi sasa