HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

Sasa kama hoja ya mwalimu ilikua unafiki, ni kwann ya kwame iomekane ni genuine?
 
You're right
 
kama nakuelewa hivi.
 
I bet to my last dime, Nyerere was nobody's stooge!
 
Nyerere naunga hoja alikuwa kibaraka wa malkia
Kwa nyie watoto wa juzi ambao hamjui kusoma historia, nasikiaNyerere kuna wakati alienda kuonanan na Malkia , na Malkia akampa mkono akiwa amevaa gloves. Nyerere akampa kifimbo ndio asalimiane na Malkia, Malkia akaelewa haraka na kuvua gloves.
Vile vile kuna wakati Nyerere alifanya stop over London akitokea Marekani.
Waziri Mkuu wakati huo Margaret Thatcher akamtumia ujumbe kuwa akifika, aende Ofisini kwake waonane.
Alipofika Heathrow London, Mwalimu hakutoka Uwanja wa ndege, alipoulizwa kuwa anasubiriwa Ikulu ya Waziri Mkuu, Nyerere akamwambia aliyetumwa kuwa toka Airport kwenda Ikulu ni umbali ule ule toka Ikulu kwenda Airport, maana yake kwa nini yeye Margaret Tatcher kwa nini asije Airport tuonane. Airport za wenzetu zina vyumba Executive vya mikutano.
Hiyo ndiyo jeuri ya Mwalimi

Hapo mama Thatcher alilewa.
Nyerere was nobody's stooge!
 
Huu uongo kama uongo mwingine wa vijiwe vya kawa uongooooooooooooooo.
 
Sio jambo la ajabu, unafikiri alinunuliwa Jana! Huyo yupo kwenye mfumo wa USA, tangu akiwa kijana wa, miaka 20+! Ni, kawaida tu, mpaka Leo, nyie vijana mnapoitwa na kupewa fulsa za, vijana viongozi kwenda USA kujifunza Mambo ya uongozi, mnafikiri USA, inafsnya hivyo kwa vile inawapenda? Acheni ujinga, don't be naive niggers! There is nothing like free lunch in this world!
 
Kweli vijana wa sasa kusaliti nchi yao ni kama kawaida tu kwao.
Lakini kwa vile wamenunuliwa , basi kuitumikia nchi yao ni kama ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…