Hivi ndiyo kusema hela zangu nilizoweka LBL ndiyo zimepotea ama TCRA na BoT watanirudishia?


Duh
 
Serikali haifanyi kazi kijinga namna hii
 
Hahaha ndio wanavyowaambia? Ila juz si niliwaambia hawa hawarudi watu wakanitukana. Hao washasepa tayari...
 
Hahaha ndio wanavyowaambia? Ila juz si niliwaambia hawa hawarudi watu wakanitukana. Hao washasepa tayari...
Eeh na watu wanaamini halafu group wakafunga msgs eti mpaka jumatano ili watu wasilete taharuki. Ndo washasepa tu
 
Jaman hivi ninyi watu mtaelewa lini hizi ponzi scheme ? Bro hii mifumo aliianzisha bwana mkubwa mmoja Muitaliano (Mhuni wa Torino) anaitwa Charles Ponzi, kwamba early investors watalipwa na new investors alafu wanaiua. Kinachonishangaza unaamini kabisa wamekwamishwa na serikali? Kwan mkuu mnakuwaga mmelishwa madawa ya kuleta? Hawajakwamishwa na gavament hawa wametembea kibingwa ila kwakuwa wana associates ambao ninyi mnawajua ni wabongo wenzenu basi hiyo kukwamishwa ni mbinu ya kuwauliza, mkuu amka usingizini saivi ni mchana watu kariakoo wanauza bidhaa wengine wanaibia wateja ilimradi zote kazi na zote wanapata kipato, hakuna hela yakudownload...
 
Hawa wanakuwaga mifumo washaiset ikifikisha kiwango fulan cha pesa isitishe activities maana wao watakuwa washafikia malengo na hawa wanasepa very soon
Kuna wao au serikali kuingilia kati kabla ya malengo kutimia
 
Hawa wanakuwaga mifumo washaiset ikifikisha kiwango fulan cha pesa isitishe activities maana wao watakuwa washafikia malengo na hawa wanasepa very soon
Group nlilomo ni la kumi lina members 1009 na sijui hata kama ni la mwisho.
 
Hawawezi kuelewa kabisa mkuu hata uwaeleze nini wao wanaamini kabisa ilikuwa ni ya kudumu.
Kuna kipindi waliwaonyesga jengo la serikali liko dodoma wakawambia ni ofisi za lbl wanamalizia kujenga nilicheka sana. Ungekuwa kwenye group ungejua jinsi gani watanzania wengi ni wajinga. Ila asilimia kama 30% wanajua kuwa ni ponze scheme wanaingia mapema na ikifa wanahamia kwingine.
Mimi nimeingia lbl september na nlitegemea haifiki december. Nikala ela ilipofika november au december akaunti nikampa mdogo wangua endelee kula gawio maana nlikuwa nishakula nilichoweka na faida mara 2.
 
Shaka Ondoa Utalipwa Pesa Zako,,Endelea Kucheza Zaidi,,Mtandao Ulitetema.
 
Kwani wakati wa DECI ilikuwaje? Serikali ilirudisha hata senti ya mtu? Ila serikali inawajibika kwa kurususu wananchi waumie na wakati serikali ina vyombo vya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…