Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Wanae ni kibabu fulani kinachoendeshwa na upepo wa Netanyahu, na genge lake ambao ndio wameshilia uchumi wa nchi hiyo, kupitia ufisadi mkubwa wanaofanya kwenye taifa hilo.
Ahsantee, mara nyingi huwa namsikia Netanyahu
 
Sera yao inafanana na ile ya Uingereza au Ujerumani.

Uingereza wana mfalme, lakini waziri mkuu ndie anaepanga na kusimamia serikali.

Halikadhalika Ujerumani nao wana raisi, lakini kansela ndie anaepanga na kuisimamia serikali.
Aiseee
 
Ungeisoma vizuri hiyo habari.
Lakini pia Israel ana oil refinery kubwa mbili hiyo ya Haifa na Ashdood.
Hiyo ya Haifa hata isipofanya kazi bado hawawezi kupata fuel crisis kwa sababu, kila siku wanaingiza mapipa zaidi ya laki 2, huku mahitaji yao kwa siku ni mapipa elfu 70 tu.

Mbali na hilo, pia wana reserve kubwa ya fuel ambayo ipo underground huko Negev.

Hiyo ya Haifa ilishatakiwa kufungwa muda tefu toka 2022 sababu ya uchafuzi wa mazingira, baraza la mawaziri walipiga kura hiyo Haifa refinery ifungwe. So hawawezi kupata crisis sababu ya hiyo ndio maana umeona Kuna insignificant changes kwenye bei ya mafuta
 
Ni vema ukaishi Israel miaka mitano(kama inawezekana badili na kabila uwe "myahudi") halafu urudi shithole country uje utoe uzoefu wa maisha yao na majirani zake waarabu/waajemi.
 
Israel wako vitani kuzusha bakuri ni must kwa nchi yoyote iliyoko vitani chini ya jua.

Kuna nchi gani Afrika inafanya exports kuipita Israel kabla ya baada ya vita? Unaweza kuwa na hija lkn si uungwana kumfananisha Netanyahu ni kina Samia na kina Ndaishimiye na kina Euro
 
Wee nawe Kwa ujanja wako wote Bado una hangaishwa na hizo false flag za wayahudi !?

Matendo ya netanyahu Yana kushawishi kweli kuweza kuamini kuwa ana IQ Kubwa kuliko Kiongozi yoyote Duniani!? Mbona matendo yake ni ya hovyo sana !?
 
Naunga mkono hoja yako mkuu. Lakini Netanyahu anatakiwa awe na vision ya kufikiria kuhusu after war nchi yake inatakiwa iwe katika nafasi gani ili kuepuka utegemezi. Huwezi kung'ang'ania vita kila siku huku akiiacha nchi ikiendelea kuwa omba omba kama shithole countries.

Watu wengi mpaka wazungu wenzake wanamshauri akubali kuwapa uhuru wapalestina ili kuleta amani ya kudumu na maendeleo ya kweli, lakini yeye anang'ang'ania maisha ya vita kila siku kwa kutegemea jasho la kodi za wanaume wenzake.

Sasa wewe unaona hiyo ni akili na elimu au matope?
 
Kuna speech moja aliitoa kwa wananchi wa iran dhidi ya serikali ya iran ukiisikiliza unajiuliza huyu timamu kweli, anawachukulia watu woote ni watanzania, maana yale maneno yana uchembe chembe wa akili za wanasiasa wengi wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…