Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Mwanaume mnene hapana kwakweli
Kadiri mwanaume anavyonenepa, Abdallah Kichwawazi anazidi kupunguwa size mwisho wa siku kinabaki kichelema.Mwanaume mnene hapana kwakweli
Duh!Kadiri mwanaume anavyonenepa, Abdallah Kichwawazi anazidi kupunguwa size mwisho wa siku kinabaki kichelema.
Kiuhalisia hakuna 'dawa salama' ya kunenepesha zaidi ya 'tiba lishe'.
Unaowaona wakinenepa ghafla, nawe ukadhani wana afya unajidanganya pakubwa, unene wa ghafla una viashiria vingi sana vya 'utapia siha'.
Ukitaka kunenepa kwa muda mfupi, kuna wadau hapo juu wameshakwambia 'kula' ndiyo dawa ya kunenepa haraka.
Vyakula vya wanga na sukari ndivyo vinanenepesha haraka sana, unashauriwa kufakamia mi chips kuku, viazi vitamu, chai ya maziwa, maziwa menyewe nk, huchukui muda kututumka.
Wakati ukifanya hayo ya kula vinono, usizembee kupima kisukari pamoja na presha mara kwa mara.
Roho ya korosho, mara nyingi watu wenye miili isiyokuwa na shukrani huwa wana tatizo.Sasa Kuna Mimi Nina 70 kg toka 2015 mpaka Leo haijawahi kipungua Wala kuongezeka hata point 1
Afya iko poa kabisa sipatagi hata mafua na Nina urefu wa cm 172 (ft 6 kasoro cm 11
Niko mwembamba balaa mpaka washkaji wananiita 10x1 (ten by one)ππ
Misosi napiga ya kutosha hizo nyama choma ugali chapati supu kuku michemsho ndo pigo zangu, pia lager napiga hata hapa Niko zangu pub napata vitu na Wala Sina stress kabisa
Wana huwa wananicheka Sana kwa jinsi ninavyopeleka misosi Ila mwili kimbaumbau
Shemeji yenu mwenyewe nimemzidi miaka 6 Ila mtaani wanamtania eti unambemenda yule dogo/chaliiπππ
Sasa nitakua Nina tatizo gani kiafya wataalamu
Roho ya korosho, mara nyingi watu wenye miili isiyokuwa na shukrani huwa wana tatizo.
Hawa siyo chikonda, wana afya njema kabisa kimuonekano.Mh Mizengo Kayanza Pita Pinda
Mh Paul Kagame
Marehemu Prof Philemon Sarungi
Barac Obama
Wote robo za korosho hawa