Uchaguzi 2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

Hii ni mikuki ya kujichoma, kwa miaka 5 ya Magufuli, reactions za serekali dhidi ya wote wenye mtazamo tofauti na rais, ndo kilicho zalisha haya yote.
 
Watawala wa kiafrica sababu ya matumbo na ubinafsi wao ndo chanzo cha vurugu na wakimbizi duniani hivyo ni lzm wadhibitiwe ili kupunguza uzalishaji wa wakimbizi duniani
 
Ukisikiliza interview ya Lissu leo, barua ya Amsterdam ya jana na threads za kumtangaza mshindi zinazoanzishwa JF.

Utabaini wana ka coordinated move chao uchwara wa kujiandaa kukataa matokeo eti Lissu anadai kwa kile alichoita survey iliyofanywa na CDM (which is opinion poll kwa lugha sahihi, huyu ndio mtu anaekosoa English za wenzake) inaonyesha atashinda kwa asilimia 65-75 kwa ushahidi kwamba ni yeye pekee ndio mikutano yake ilikuwa inajaa na ya Magufuli awezi jilinganisha nae kwakuwa anakusanya wanafunzi tu.

Lissu is something else I am glad idadi ya watanzania inaongezeka mtaani ambao wameanza kukerwa jinsi polisi wanavyocheka nae.

Like I said halipo wasili kutoka Belgium the extent of mental problems za Lissu watu watakuja kuona baada ya uchaguzi.

Busara ni kupata akae nae chini mapema na kumrudisha duniani kutoka lala land halipo aache kujiweka on equal per with Magufuli hilo jambo litamtesa kwa sababu Magufuli week hii inayofuata atashinda tena kwa kishindo.
Una elimu gani? Kiingereza hujui. Kiswahili pia hujui! Wewe ni wa nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu is a victor
 
Dr. Akili, wewe kweli ni daktari au topasi. Kama ni daktari basi vyeti vyako ni FAKE. Tanzania wamekubali UNIVERSAL DECLARATION ON HUMAN RIGHTS. Masuala ya human rights hayana mipaka na mataifa, katika miaka mitano iliopita wame badilisha katiba za nchi yao kuingiliana na masuala haya. Kwa hiyo masuala ya human rights hayana mipaka wala siyo masuala ya ndani ya nchi. Sisi wazenji tunajua kuwa tutakuwa wa mwanzo kuuliwa kwa sababu tunaikataa CCM kwa asilimia 90. Wakimtangaza mtalii wao tunaingia barabarani mpaka kieleweke. Haiwezekani kila miaka mitano CCM wanaiba kura na tunanyamaza . Munakaribishwa zenji.
Unayoyaongea yameuzidi upeo wa Dr Akili. Udokta wake ni kama ule uliokuwa wa Majimarefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanzisha li thread lako halafu walikimbia. Najua CCM tutanyang'anya ushindi, lakini hatutashinda. Haki ni msingi wa kila kitu, hata sheria msingi wake ni HAKI.
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam!

Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na Amsterdam wake kutoka mataifa yenye nguvu duniani; yakimprotect mgombea wao na kutishia kuwafikisha kwenye mahakama ya ICC wale wote watakaoonekana kuwa tishio la mgombea wao kupata ushindi.

Fikiria kama Benard Membe naye angalikuwa na Amstedam wake, kwa dhoruba alilolipata, Seif na Zitto wangalikuwa wanasubiri kufikishwa ICC!! Fikiria dhoruba wanayoipata akina Hashim Rungwe kwa kuzuiliwa kutoa ubwabwa kwenye kampeni zao, idadi ya watu wangaliofikishwa mahakama ya ICC wangalikuwa kiasi gani? Fikiria dhoruba wanayoipata akina Lipumba na kadhalika kwa kukosa mafuriko kwenye mikutano yao na kadhalika.

Huko kwa akina Amsterdam nchi nyingine hata kuhisiwa tu kama ilishiriki kuingilia uchaguzi wa nchi yao huwa ni jambo lisilokubalika. Tulishuhudia kasheshe iliyotokea kwa China na Urusi kuhisiwa kusaidia ushindi wa Trump katika uchaguzi mkuu wa Marekani wa mwaka 2016. Kasheshe hii hadi sasa haijaisha na wala Trump mambo ya ICC hayamuhusu.

Sasa jee tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa hawa akina Robert Amsterdam ambao wazi wazi kabisa wameingilia uchaguzi mkuu wetu? Au sheria za kimataifa zinasema nini juu ya watu kama hawa?

HIVI HUJUI KAMA HUU UCHAGUZI TUNAPAMBANA NA HAO? OCTOBER, 28 CCM ITAWAGALAGAZA HAO, WALA SIO WAPINZANI WA TZ.
 
Hapa duniani kuna sheria tu, haki iko mbinguni kwa Mwenyezi Mungu. Hivyo kwetu hapa duniani haki ni zile sheria tulizojitungia wenyewe kwenye bunge letu na haki za aina hiyo hupatikana mahakamani tu kama unaona au kuhisi hujatendewa haki. Tume yetu iko huru kwa mjibu wa sheria zetu na katiba yetu. Kama unahisi haiko huru nenda kaidai mahakamani, vinginevyo utakuwa unataka kuleta vurugu na kuvunja amani yetu.
Hakuna mahakama ya kutoa haki hapa Tanzania kwa wapinzani. Acha watu wa nje waingilie chaguzi zetu, maana vyombo vya dola na tume ya uchaguzi wameamua kuwa upande wa ccm waziwazi. Bila machafuko huu uhuni hauwezi kuisha.
 
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam!

Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na Amsterdam wake kutoka mataifa yenye nguvu duniani; yakimprotect mgombea wao na kutishia kuwafikisha kwenye mahakama ya ICC wale wote watakaoonekana kuwa tishio la mgombea wao kupata ushindi.

Fikiria kama Benard Membe naye angalikuwa na Amstedam wake, kwa dhoruba alilolipata, Seif na Zitto wangalikuwa wanasubiri kufikishwa ICC!! Fikiria dhoruba wanayoipata akina Hashim Rungwe kwa kuzuiliwa kutoa ubwabwa kwenye kampeni zao, idadi ya watu wangaliofikishwa mahakama ya ICC wangalikuwa kiasi gani? Fikiria dhoruba wanayoipata akina Lipumba na kadhalika kwa kukosa mafuriko kwenye mikutano yao na kadhalika.

Huko kwa akina Amsterdam nchi nyingine hata kuhisiwa tu kama ilishiriki kuingilia uchaguzi wa nchi yao huwa ni jambo lisilokubalika. Tulishuhudia kasheshe iliyotokea kwa China na Urusi kuhisiwa kusaidia ushindi wa Trump katika uchaguzi mkuu wa Marekani wa mwaka 2016. Kasheshe hii hadi sasa haijaisha na wala Trump mambo ya ICC hayamuhusu.

Sasa jee tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa hawa akina Robert Amsterdam ambao wazi wazi kabisa wameingilia uchaguzi mkuu wetu? Au sheria za kimataifa zinasema nini juu ya watu kama hawa?
Jumuiya ya kimataifa haiko tayari tena kubeba lawama kwa yaliyotokea Rwanda kwenye mauwaji ya kimbari.

Jumuiya ya kimataifa iliwacha Warwanda wafanye watakavyo mwisho wa siku wakalaumiwa wao kwa kutoingilia kati.

Sasa hivi wanachofanya jumuiya ya kimataifa siyo kuingilia kati wakati damu inamwagika bali kuzuia mapema kwa kuwaonya mabeberu weusi wajuwe kwamba mienendo yao inafuatiliwa kwa karibu.
 
Ukisikiliza interview ya Lissu leo, barua ya Amsterdam ya jana na threads za kumtangaza mshindi zinazoanzishwa JF.

Utabaini wana ka coordinated move chao uchwara wa kujiandaa kukataa matokeo eti Lissu anadai kwa kile alichoita survey iliyofanywa na CDM (which is opinion poll kwa lugha sahihi, huyu ndio mtu anaekosoa English za wenzake) inaonyesha atashinda kwa asilimia 65-75 kwa ushahidi kwamba ni yeye pekee ndio mikutano yake ilikuwa inajaa na ya Magufuli awezi jilinganisha nae kwakuwa anakusanya wanafunzi tu.

Lissu is something else I am glad idadi ya watanzania inaongezeka mtaani ambao wameanza kukerwa jinsi polisi wanavyocheka nae.

Like I said halipo wasili kutoka Belgium the extent of mental problems za Lissu watu watakuja kuona baada ya uchaguzi.

Busara ni kupata akae nae chini mapema na kumrudisha duniani kutoka lala land halipo aache kujiweka on equal per with Magufuli hilo jambo litamtesa kwa sababu Magufuli week hii inayofuata atashinda tena kwa kishindo.
Nakupongeza kwa huu utoto ulioandika hapa
 
Amsterdam ni tapeli mpiga debe tu, wala usiwe na wasiwasi naye kabisa. Ubaya kwake ni kuwa anapambana na mtu mwenye msimamo. Wewe focus kwenye uchaguzi tu usihangaike na Amsterdam hata siku moja; atalala usingizi muda wowote kuanzia sasa.
Mwafaa nawambia
 
HIVI HUJUI KAMA HUU UCHAGUZI TUNAPAMBANA NA HAO? OCTOBER, 28 CCM ITAWAGALAGAZA HAO, WALA SIO WAPINZANI WA TZ.
Mtawagalagaza kwa hiyo idadi ya kupika kwenye daftari la wapiga kura, au kwa hivyo vituo fake vya wapiga kura?
 
Wameingiliaje uchaguzi?

Kuzungumzia ukweli ni kuingilia uchaguzi? Siku hizi hakuna uchaguzi wa peke yako, upeke yako unabaki katika kutiki tuu karatasi ya kura lakini mengine yanawahusu wote was ulinwengu huu.

Kama uliusoma ujumbe wa Balozi wa Marekani nadhani utakuwa umeelewa vizuri alimaanisha nini umuhimu wa uchaguzi wa TZ na mataifa yote ya East and Central.

Kukubali kunyamazia ujinga wa jirani kisha yale ya Rwanda au Burundi yanatokea kisha ndio wanajitokeza utakuwa upuuzi wa hali ya juu
Ule wa waziri wa mambo ya nje wa China uliupata!?
 
Amsterdam ni tapeli mpiga debe tu, wala usiwe na wasiwasi naye kabisa. Ubaya kwake ni kuwa anapambana na mtu mwenye msimamo. Wewe focus kwenye uchaguzi tu usihangaike na Amsterdam hata siku moja; atalala usingizi muda wowote kuanzia sasa.
Msimamo haupo tena.Jiwe ni Wa kupigia wananchi magoti jukwaani kweli?,jiwe huyu nimjuae.
ASHATEPETA.
 
Barua ipo wazi tu
Hakuna jipya katika barua yake..{sourced}
Kuingilia chaguzi kunahitaji zaidi ya, na yanayojulikana, na hapa, katika barua hiyo yanajulikana.

Wacha kupotosha umma
 
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam!

Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na Amsterdam wake kutoka mataifa yenye nguvu duniani; yakimprotect mgombea wao na kutishia kuwafikisha kwenye mahakama ya ICC wale wote watakaoonekana kuwa tishio la mgombea wao kupata ushindi.

Fikiria kama Benard Membe naye angalikuwa na Amstedam wake, kwa dhoruba alilolipata, Seif na Zitto wangalikuwa wanasubiri kufikishwa ICC!! Fikiria dhoruba wanayoipata akina Hashim Rungwe kwa kuzuiliwa kutoa ubwabwa kwenye kampeni zao, idadi ya watu wangaliofikishwa mahakama ya ICC wangalikuwa kiasi gani? Fikiria dhoruba wanayoipata akina Lipumba na kadhalika kwa kukosa mafuriko kwenye mikutano yao na kadhalika.

Huko kwa akina Amsterdam nchi nyingine hata kuhisiwa tu kama ilishiriki kuingilia uchaguzi wa nchi yao huwa ni jambo lisilokubalika. Tulishuhudia kasheshe iliyotokea kwa China na Urusi kuhisiwa kusaidia ushindi wa Trump katika uchaguzi mkuu wa Marekani wa mwaka 2016. Kasheshe hii hadi sasa haijaisha na wala Trump mambo ya ICC hayamuhusu.

Sasa jee tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa hawa akina Robert Amsterdam ambao wazi wazi kabisa wameingilia uchaguzi mkuu wetu? Au sheria za kimataifa zinasema nini juu ya watu kama hawa?
We mwache tu. Tutamshtaki MIGA!!!!
 
SASA KAMA UNAHIZO TAAARIFA KWA NINI HUENDI KUPINGA MAHAKAMANI MAPEMA?? UMESUBIRI UGARAGAZWE HAPO KESHO KUTWA NDO UKALIE LIE HUKO.
 
Haya na wewe nenda Marekani ukafanye kama alivyofanya kwetu Amsterdam! Haitachukua hata sekunde moja utakuwa ahera ukiserebuka!
Kwahiyo unadhani haiwezekani, kwamba watakufanya nini ?
 
Back
Top Bottom