Uchaguzi 2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

Hii ni mikuki ya kujichoma, kwa miaka 5 ya Magufuli, reactions za serekali dhidi ya wote wenye mtazamo tofauti na rais, ndo kilicho zalisha haya yote.
 
Watawala wa kiafrica sababu ya matumbo na ubinafsi wao ndo chanzo cha vurugu na wakimbizi duniani hivyo ni lzm wadhibitiwe ili kupunguza uzalishaji wa wakimbizi duniani
 
Una elimu gani? Kiingereza hujui. Kiswahili pia hujui! Wewe ni wa nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu is a victor
Your browser is not able to display this video.
 
Unayoyaongea yameuzidi upeo wa Dr Akili. Udokta wake ni kama ule uliokuwa wa Majimarefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanzisha li thread lako halafu walikimbia. Najua CCM tutanyang'anya ushindi, lakini hatutashinda. Haki ni msingi wa kila kitu, hata sheria msingi wake ni HAKI.
Umeanzisha li thread lako halafu walikimbia. Najua CCM tutanyang'anya ushindi, lakini hatutashinda. Haki ni msingi wa kila kitu, hata sheria msingi wake ni HAKI.
 
HIVI HUJUI KAMA HUU UCHAGUZI TUNAPAMBANA NA HAO? OCTOBER, 28 CCM ITAWAGALAGAZA HAO, WALA SIO WAPINZANI WA TZ.
 
Hakuna mahakama ya kutoa haki hapa Tanzania kwa wapinzani. Acha watu wa nje waingilie chaguzi zetu, maana vyombo vya dola na tume ya uchaguzi wameamua kuwa upande wa ccm waziwazi. Bila machafuko huu uhuni hauwezi kuisha.
 
Jumuiya ya kimataifa haiko tayari tena kubeba lawama kwa yaliyotokea Rwanda kwenye mauwaji ya kimbari.

Jumuiya ya kimataifa iliwacha Warwanda wafanye watakavyo mwisho wa siku wakalaumiwa wao kwa kutoingilia kati.

Sasa hivi wanachofanya jumuiya ya kimataifa siyo kuingilia kati wakati damu inamwagika bali kuzuia mapema kwa kuwaonya mabeberu weusi wajuwe kwamba mienendo yao inafuatiliwa kwa karibu.
 
Nakupongeza kwa huu utoto ulioandika hapa
 
Amsterdam ni tapeli mpiga debe tu, wala usiwe na wasiwasi naye kabisa. Ubaya kwake ni kuwa anapambana na mtu mwenye msimamo. Wewe focus kwenye uchaguzi tu usihangaike na Amsterdam hata siku moja; atalala usingizi muda wowote kuanzia sasa.
Mwafaa nawambia
 
HIVI HUJUI KAMA HUU UCHAGUZI TUNAPAMBANA NA HAO? OCTOBER, 28 CCM ITAWAGALAGAZA HAO, WALA SIO WAPINZANI WA TZ.
Mtawagalagaza kwa hiyo idadi ya kupika kwenye daftari la wapiga kura, au kwa hivyo vituo fake vya wapiga kura?
 
Ule wa waziri wa mambo ya nje wa China uliupata!?
 
Amsterdam ni tapeli mpiga debe tu, wala usiwe na wasiwasi naye kabisa. Ubaya kwake ni kuwa anapambana na mtu mwenye msimamo. Wewe focus kwenye uchaguzi tu usihangaike na Amsterdam hata siku moja; atalala usingizi muda wowote kuanzia sasa.
Msimamo haupo tena.Jiwe ni Wa kupigia wananchi magoti jukwaani kweli?,jiwe huyu nimjuae.
ASHATEPETA.
 
Barua ipo wazi tu
Hakuna jipya katika barua yake..{sourced}
Kuingilia chaguzi kunahitaji zaidi ya, na yanayojulikana, na hapa, katika barua hiyo yanajulikana.

Wacha kupotosha umma
 
We mwache tu. Tutamshtaki MIGA!!!!
 
SASA KAMA UNAHIZO TAAARIFA KWA NINI HUENDI KUPINGA MAHAKAMANI MAPEMA?? UMESUBIRI UGARAGAZWE HAPO KESHO KUTWA NDO UKALIE LIE HUKO.
 
Haya na wewe nenda Marekani ukafanye kama alivyofanya kwetu Amsterdam! Haitachukua hata sekunde moja utakuwa ahera ukiserebuka!
Kwahiyo unadhani haiwezekani, kwamba watakufanya nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…