Uchaguzi 2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

Vice versa Magu ndio Tyson na Lissu ndio Matumla.
 
mbona unaweweseka si serikali ina mwanasheria si ajibu hoja za robert hoja hujibiwa kwa hoja na sasa basi kisheria serikali ina mzigo wa kuthibitisha pasi na shaka kwa robert ni mwongo, kitu ambacho mpaka sasa serikali ipo kimya, ccm mshazoea vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi
 
Uko sahihi.....
 
Lissu is something else I am glad idadi ya watanzania inaongezeka mtaani ambao wameanza kukerwa jinsi polisi wanavyocheka nae.
Usiseme watanzania sema takataka CCM wanakwerwa jinsi Polisi wanavyocheka nye...


Pathetic fool
 
ICC ni Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inayotumika kushitaki uhalifu ikiwamo mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya ubinadamu, uhalifu wa kivita.
Kwetu tutoe uhalifu wa Kimbari,Uhalifu wa Kivita tuweke Uhalifu wa kibinadamu(Human Rights Criminal) kimsingi Tundu Lissu anaiweka mtegoni Serikali kupitia jeshi la polisi na huo mchezo IGP kaustukia kwa maana atakaeanza kuivunja haki ya watu kuwatenda kinyume na sheria zetu atakuwa katenda kosa la jinai.
Labda Chadema wanahisi wanayo haki kuipinga tume kuwaambia wafuasi wake waingie barabarani au walinde kura kituoni kitendo ambacho sheria na kanuni za tume zinakataza sasa wakikamatwa au kupigwa Tundu hawezi kwenda Nertheland kushtaki lazima aanzie kwenye Mahakama zetu .

Mahakama ya ICC inakuwa na mamlaka pale mahakama za kitaifa zinapokataa ama zinaposhindwa kufanya uchunguzi ama kuendesha mashitaka juu ya uhalifu wa aina hii,na ukumbe pia kama Wasimamizi wa Uchaguzi wakapatwa na Uhalifu Chadema imekula kwao tutawafungulia mashtaka hapa hapa na itakuwa imekula kwao nahivi wana kesi zingine lukuki mbona watahama nchi.
Hivyo Amstadam lazima afungue shauri la Tundu na vithibitisho vyote kama kuna watu wameuwawa kwenye Mahakama yetu hawezi kwenda nje mpaka pale mahakama ya ndani isipotenda haki na mimi nasema hakuna Serikali duniani inaweza kuchekelea upumbavu wa Lissu tulieni mtaona uchaguzi ukiisha atakavyokuwa mpole huyu mjua kila kitu.
 
Sheria na Kanuni ipi za tume zinakataza wananchi kulinda kura??
 
Vice versa Magu ndio Tyson na Lissu ndio Matumla.
Ninyi pamoja kina Bashiru+Polepole ndio mnampa bichwa Magu linaendelea kuvimba.Jamaa kisiasa mwepesi dola ndio inayomlinda.Kutumia dola ndio hatua ya mwisho kabisa ya kutetea uhai wa CCM.Dola ikifeli ndio kifo Cha mende Cha CCM!
 
Hakuna anayeingilia uchaguzi wetu,uchaguzi wetu ni wa ovyo kabisa usio huru na haki.
Kati ya wagombea wote,mgombea mmoja yeye ndie kamteua refa,yeye ndie kateua wasimamizi wote wa uchaguzi.
Yeye ndio kateua Mkuu wa polisi ambaye hafanyi kitu mpaka aambiwe naye.
Vyombo vya habari vyote vimezuiwa kutangaza mambo ya wapinzani wake,ukitangaza tu,kesho TRA hawa hapa.
Kwa miaka mitano iliyopita,alizuia siasa kabisa,yeye kapiga kampeni tangu 2015,
 
Naona kama wajinga Tanzania wanazidi kuongezeka badala ya kupungua na ndio maana IQ yetu ni miongoni mwa ndogo kabisa duniani..!!
 
Robert Amsterdam sio nchi. Ni wskili au kampuni ya mawakili. Hajaingilia uchaguzi wetu. Yeye amepewa kazi na Tundu Lissu kusimamia masuala yake ya kisheria. Kila mtu/taasisi anayo haki ya kuwa na wakili kusimamia mambo yake kisheria.
 
ukitaka kuujua unafiki wa mabeberu tizama walichokifanya libya, baada ya kumng'oa waliemwita dictator leo miaka 9 libya bado haitamaniki, mzungu anapoleta choko choko usidhani anatetea haki no hapo analenga maslahi yake, kinyume na maslahi yake mzungu hawezi kukupenda
 
safari hii mkisema mmeibiwa kura. mje na data za wapi zimeibiwa ngapi na muweke ushahidi wa viambatanishi vilivyosainiwa na mawakala wenu.
 
Watu wa kimataifa kama Amsterdam wanawasaidia nyie wajinga wa Africa kuondokana na tawala za kidikteta ambazo nyie kwa ujinga wenu mwingi hamna hata habari kwamba mnanyanyaswa. Ni sawa tu na misaada ya nchi zilizoendelea sio lazima misaada iwe fedha inaweza kuwa misaada ya kisheria, kitechnologia, kijeshi, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…