Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hapo ndo mnapokosea sasa! Badala adeal na mtu wake anadeal na jamaa. Ukute jamaa aliambiwa yuko single
Itakua alipata uchungu tunda lake kuliwa na mtu mwingne.hahaha hata watu waliokuja kuhamua walisema hivo hivo lakini msela haamini anazidi kumkaba tu mwenzie ilibaki kidogo amuue[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua alipata uchungu tunda lake kuliwa na mtu mwingne.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitazame mkuu..
Nipo napiga stories kila siku humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anne Ni jina langukwanini ulijiita hilo jina Saint Anne. ? unaipenda sana Saint anne au vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo siriazi na unadai umeona utunzi sawa ila la kuimba sijui..
Kwanza kubali Kama unajuaKama upo siriazi na unadai umeona utunzi sawa ila la kuimba sijui..
How can I prove myself that I know to sing!!
Mimi nimekuthibitishiaHow can I prove myself that I know to sing!!
πππ
Anne Ni jina langu
Saint niliongezea tu .
Hiyo tafsiri nyingine nimeijulia humu
Sent using Jamii Forums mobile app
UnazinguaKama upo siriazi na unadai umeona utunzi sawa ila la kuimba sijui..
nasubiri mtandao uwe sawa nisome thread zakoπ
Kabisaa Brother..Kwann pm ikae ukiwa na mods wapo?Mzee ujue mvua bado zinanyesha nyesha..utapigwa radi kwa uongo kama huu ππ
Kuna muda itabidi tubadilishane passwords.