Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Sawa usijali mpendwanakuomba sana urudi maana tokea umeacha kupost kule na mimi siendi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa usijali mpendwanakuomba sana urudi maana tokea umeacha kupost kule na mimi siendi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo akiona comment yako ukute ananuna balaa af we habari huna😂😂😂😂
Si ndiyo hapo Sasa..nikionaga I'd yake nacheekaaa
Sawa usijali mpendwa
Unawajua binadamu wanaoitwa wahindi?hahahaha sanaa, wakurungwa sio watu wazuri kabisa wamejaa insta na FB
Na ndo maana inakua ngumu sana relationships za aina iyoSasa mie niwe na njaa wewe unitumie picha ya samaki nitakuelewa kweli.??
😂😂😂😂 Anune tu..🤣🤣Hapo akiona comment yako ukute ananuna balaa af we habari huna😂😂
Yaan haina sherehe sjui mambo ya kuhangaishana michango.
Ngoja nianze kujifunza kuita Mpendwa maana mimi mhenga kizungu siwezi.hiyo “mpendwa” si uiseme kwa kithungu iwe Dear , Hawachi jamani unataka kuninyima nini[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hata ukiambiwa ana ebola unagonga tuh. Badaaaae ndio unaanza kujutaHuyu hapa..
Ndo zile mbinu zako nakuambiaga za psychological manipulation utaishia kuitwa kakaWote wapo chini ya maika 10.
Wengi nilionao ni wa humu humu ambao hunifosi niwaite dada
Anza na LennieHawa wa humu ndio nataka..
Lkn hata hivyo mdogo wako naweza kumuoa acha ubishi wa kike wanakuwa kwa spidi ya kuunga juhudi awamu hii😜
Kama ulikuwa umetulizana, wasiwasi unakuwa huna, sasa bahati mbaya ukuwe kiruka njia! Unahisi kila kisemwacho chako.!
Haya mkuu stay blessedHii ni kama ndoano boss,hapa tunacheza kwa akili.!
Ngoja nianze kujifunza kuita Mpendwa maana mimi mhenga kizungu siwezi.
Hayo majina mengine nimeyaweka maalumu kumuita mtu ninayempenda..Ila mkuu na kiongozi ndio za watu wa kawaida.hahahaha[emoji23] umetisha yani unamuita mtoto mzuri kiongozi, mimi kuna majina yameshashindwa kutoka mdomoni kwangu mfano Dada, hakuna mwanamke namuita dada its either nimuite jina lake au nimuite Dear,Baby nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan haina sherehe sjui mambo ya kuhangaishana michango.
Fasta fasta tu mnamaliza mambo mnakua rasmi