Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😜😂😂Vp ww. Mwanamke akikuuliza unajua kuuendesha ndege mwambie ndiooo. Hapo utakapo pewa ndege sijui itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko siriaziNiko mbele zako kondoo wa bwana tayari kwa kuchinjwa sina usemi..[emoji12][emoji23]
nawaona introverts
Sio sana, ninao kidogo tu
sijui mara ya mwisho ni lini nimeona comment yako,hujambo lakini ?
bora, maana mimi nina wivu kupita kiasi mpaka huwa najichukia😁Sio sana, ninao kidogo tu
nina wasiwasi na u-introvert wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina wasiwasi na u-introvert wenu.
Sijambo mkuusijui mara ya mwisho ni lini nimeona comment yako,hujambo lakini ?
Cc: BazaziHa ha! Unahitaji upako gani kujua Mimi ni wako wa enzi..?
Nitumie lugha ipi ili ujue nakupenda kushinda mapenzi..?
Usitie dukuduku mimi sio upupu!
Sikudanganyi kwa supu,Bali kwa huba maradufu[emoji8]
Usiogope kusema ndio hautapoteza uzio!
Siteti mengi usije niona mshenzi!
Ila mimi ndo kenzy mwenye huba lisilo mawenzi[emoji6]
Sijambo mkuu
Vipi Hali yako??
Hakuna siku imepita sijacomment humu..sema labda hatukutani ama tuko majukwaa tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
jaman naomba kujua maana ya pm au ndo ile post meridian.... Msaada plzHi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!
Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!
Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!
Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!
Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?
#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
Uwe unatembea na hukumi niko salama kabisa mwenye furaha tele siku ya leo,
ndio nadhani hiyo ndio sababu maana kuna majukwaa huwa nayasikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh huo ni mtazamo wako (Mzuri)Lol, binadamu hatupo sawa kimawazo/kimtazamo. Kutokufanya kitu wengi wanachokifanya haimaanishi mimi ni mshamba au kufanya kitu wengi wanachokifanya hapanifanyi kuwa mjanja.
Utani nimeupokea Next Man.
kumbe we ni Introvert basi ndio maana, mi ni Introvert kwenye maisha halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwii itakuaje sasa ndani ya nyumbabora, maana mimi nina wivu kupita kiasi mpaka huwa najichukia😁