Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Usalama wa taifa wakutakie nini kutwa upo majukwaa haya ya MMU

Kama ni kweli umeombwa namba PM ukaja kuuliza jukwaani utakuwa una shida sehemu
Kuna matatizo ya akili, delusional disorder, inaitwa persecution complex.

Yani mtu mara zote anaona anawindwa, anaona kuna watu wanamtafuta. Kwenye simu hataki kuongea anaogopa watu wanamsikiliza. Nyumbani kwake anasema kuna sehemu serikali imeweka vifaa vya kumnasa sauti.



Persecutory: People with this type of delusional disorder believe someone or something is mistreating, spying on or attempting to harm them (or someone close to them). People with this type of delusional disorder may make repeated complaints to legal authorities.
 
Kuna matatizo ya akili, delusional dosorder, inaitwa persecution complex.

Yani mtu mara zote anaona anawindwa, anaona kuna watu wanamtafuta. Kwenye simu hataki kuongea anaogooa watu wanamsikiliza. Nyumbani kwake anasema kuna sehemu serikaki imeweka vifaa vya kumnasa sauti.



Persecutory: People with this type of delusional disorder believe someone or something is mistreating, spying on or attempting to harm them (or someone close to them). People with this type of delusional disorder may make repeated complaints to legal authorities.
Duuuh aseee Shukran ngoja niisome in deep 👍👍
 
Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi

Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu????.

Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.

Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa 😁😁😁.

Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.

Swali?? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi 🤣🤔

Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??

NB: nina njaa ya mahusiano pia 😎😎
Nirushie hiyo namba na miye nipatwe na sintofahamu
 
Usijali Hela unazo[emoji1751]
Zipo mamii ila sio za kukununulia gari

Nina za (kula, na nauli ya daladala) tu.

We unataka hela gani kwanza tuanzie hapo.

A. 100,000 - 1M
B. 1M - 10M
C.10M - 100M
D. 100M - 1B
 
Back
Top Bottom