Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kama aliyekuomba namba ni Ke kweli?Swali?? Hivi wanawake nao wanaombaga namba...
D...Zipo mamii ila sio za kukununulia gari
Nina za (kula, na nauli ya daladala) tu.
We unataka hela gani kwanza tuanzie hapo.
A. 100,000 - 1M
B. 1M - 10M
C.10M - 100M
D. 100M - 1B
Hahahmshamba_hachekwi Your contact Plzzz😋 NiKUkUZE
basi upo balehe ya pili ikabili mkuu.
Mwandiko wa kiume huuChukua demu uyo
binti wewe ni mmasai kweliD...
Mi narange C
5. Vagaries of weather.Hapa point ni zile zile;
1. Poor government support,
2. Lack of enough education,
3. Lack of capital
4. The impact of Berlin conferrence
Tumvumilie mtoa mada. Si makosa yake
Niko nje....ya bongo Kwa Sasa...(kibiashara....narudi nakuondokaUnaishi mkoa gani??
Hujaolewa??
Una miaka mingapi??
Are you singo maza??
Majibu please
Kwakweli sijawahi..lakini sio ajabu si anataka muwasiliane jamani nje na jf au wewe hutaki 😂😂Eti ushawahi muomba namba kidume??
Kweli hajakua anakili zakitotoZa usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi
Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu????.
Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.
Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa 😁😁😁.
Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.
Swali?? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi 🤣🤔
Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??
NB: nina njaa ya mahusiano pia 😎😎
unapenda maji ehIla hiki kizazi, wanaume mmekuwa waogawaoga sana!ikitokea tena vita ya majimaji sijui itakuwaje